Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

Makofi hayaleii wala kumrekebisha mwanamke,
Japokuwa wanaudhi sana hawa watu.
 
Makofi hayaleii wala kumrekebisha mwanamke,
Japokuwa wanaudhi sana hawa watu.

Mkuu kweli wanaudhi sana

Lakini inawezakuwa sisi wanaume ndo tunaudhi zaidi kuliko wao

Mtu mzima hatishiwi nyau....

Mtu mzima huketishwa chini na kuelezwa taratibu..kifungu kwa kifungu

Kama ulivoanza Nakubaliana nawewe vipigo sio suluhisho
 
That's why I love you adolay unajua thamani ya mwanamke na jinsi ya kumtunzia heshima yake hata kama amekosea vipi,

Kipigo hutuletea chuki ya kudumu usije kunipiga my love

Wewe tena....maishani siwezi inanua chochote juu ya mwili wako kwa lengo la kukupiga

Nakuheshimu sana, ujuwe mama yangu nimwanamke naelewa uchungu wa mama aujuwae mwana....Mtoto kwa mama hakuwi

Relux my kapeace together forever
 
Ndivyo tunavyobembelezwa mke hapigwi kwa ngumi na mateke anapigwa kwa....

Love you
 
Ndivyo tunavyobembelezwa mke hapigwi kwa ngumi na mateke anapigwa kwa....

Love you

Mke nisehemu muhimu ya maisha ya mume na mume nisehemu muhimu ya maisha ya mke

Mmoja kumsononesha mwengine haipaswi kwa kisingizio au sababu yoyote ile

50/50

Siwezi kukupiga nikijuwa kufanya hivo nikujipiga nakujiumiza mwenyewe. Kumpiga mke nikama kujitonesha kidonda kiume zaidi.

With my Kapeace hapana sithubutu
 
Yan Makofi Ma 3 Tu , , Njo Uku Kwetu Lolya Au Kule Umasaini Ndo Utajua Kwamba Duniani Kuna Pipo Hawana Huluma
 
Umefanya maamuzi sahihi sana ila baada ya kumpiga hukupaswa kumbembeleza tusikilize sisi wanaume wenzako achana kbs na ushauri wa wanawake,kuhusu kukaa na mwanamke hawana wanalojua...na hawajui wanalotaka...mwanamke akikushaur kuhusu kuishi na mkeo mpuuzie...ni pumba tu...kuna aina mbili za wanawake moja ni wenye heshima hawa usimguse kbs na kofi na wengine bila makofi hawaendi...huyo mkewe bila makofi hamtadumu..
 
Back
Top Bottom