Mzungu atoa ushuhuda alivyolala na wanawake weusi 1400 ndani ya miaka 2 waliokuwa wakijipendekeza kwake

Huo nao ni ubatili mtupu! Alifaidikaje kwa kutembea na wanawake wote hao?
 
Kama alikua analala nao hata watatu inawezekana. Kuna mwenye nyumba wangu mwaka 2014 alikua ameshalala na wanawake si chini ya 900. Ilikua haipiti siku hajalala ba mwanamke. Tena wakati mwingine analala na mmoja mpaka saa sita au saba usiku akiondoka analeta mwingine usiku huo huo. Sema yeye nilisikia ngoma haijamuacha
 
Nadhani huyo jamaa afungue shule zake, vyuo vyake na vituo vya afya, mimba 600 sio mchezo.

Akili za wanawake ni zile zile tu, angekuja bongo angetumia gharama ya Euro 10 kupata wanawake 100.
 
Kama alikua analala nao hata watatu inawezekana. Kuna mwenye nyumba wangu mwaka 2014 alikua ameshalala na wanawake si chini ya 900. Ilikua haipiti siku hajalala ba mwanamke. Tena wakati mwingine analala na mmoja mpaka saa sita au saba usiku akiondoka analeta mwingine usiku huo huo. Sema yeye nilisikia ngoma haijamuacha
Alivuna alichokipanda. Bado naona hiyo tabia kuwa ni ubatili na kujilisha upepo!
 
To hell with him! 600 haramus in Africa, huyu alitumwa!.... Btw anasema hajui waliotoa mimba ila nadhani wote watakuwa wamejifungua, madada wengi wanashobo na wazungu sana!
mimi nilitaka kumkosoa kwakusema kuwa alijuaje kama baadhi ya aliowapa hzo mimba hawakutoa ..ila nafsi ikanisuta ..nakuniambia mademu wa kiafrica jinsi walivyokuwa na shobo na wazungu hakuna hata aliyeitoa hiyo mimba ...

ghafla nimekutana na comment yko ambayo inaonyesha kuwa nilichokuwa nakiwaza nisahihi
 
Tunapohamasisha utalii mie roho huwa inanouma sana. Manake hao ndio watalii eetu
 
Kama alikua analala nao hata watatu inawezekana. Kuna mwenye nyumba wangu mwaka 2014 alikua ameshalala na wanawake si chini ya 900. Ilikua haipiti siku hajalala ba mwanamke. Tena wakati mwingine analala na mmoja mpaka saa sita au saba usiku akiondoka analeta mwingine usiku huo huo. Sema yeye nilisikia ngoma haijamuacha
Manii haziishi? Kila siku ngoma Tatu mpya.duuuh
 
Laos kuna utalii wa ngono unalipia unakaribishwa kwenye familia unakuwa kama mkwe familia nzima inakuhudumia
 
Kweli Huyo jean Michael, alikuwa jini mkali. Hayupo mwanaume wa namna hio.
 
"Africa is a marvelous continent. Girls are beautiful and very sexy. All they want is a man who has money, and the worst is when he’s white".Asitake kudhalilisha wanawake wa kiafrika,kwani ukienda Europe kama una hela hizo alizokuwa nazo huwezi kufanya alichokifanya kwa wanawake weupe?kuna mwanamke wa dunia hii asietaka hela kwa lolote lile?aende zake huko,tena kwao huko wanawake wa hivyo ni wengi kuliko hata huku kwetu Afrika...
 
Hiyo sex tour mbona ipo sana tu, sio kila mzungu anayekuja kutembea nchini anakuja kushangaa wakina Faru Fausta, yeye anakuja kupata sex moment aende akasimulie kwao alilala na blacks hii ni kwa both white Men and white Women.

Hua simshangai mtu anayeshobokea wazungu, these people ukiishi nao ndio utawadharau ila kama huwajui utawaona ni best creatures ever.

Sad.
 
"Africa is a marvelous continent. Girls are beautiful and very sexy. All they want is a man who has money, and the worst is when he’s white".Asitake kudhalilisha wanawake wa kiafrika,kwani ukienda Europe kama una hela hizo alizokuwa nazo huwezi kufanya alichokifanya kwa wanawake weupe?kuna mwanamke wa dunia hii asietaka hela kwa lolote lile?aende zake huko,tena kwao huko wanawake wa hivyo ni wengi kuliko hata huku kwetu Afrika...
Sio tu wanawake hata yeye angeambiwa apitishwe pipe ili apewe pesa hizo angekubali.

Pesa ni Shetani LoL.
 
Back
Top Bottom