Search results

  1. Heisenberg blue meth

    Imeshawahi kukutokea hii kutoka kwa mwanaume mwenye mahusiano na Ex-girl wako?

    Niaje wazee. Leo nimepigwa na butwaa sana. Ishu iko hivi! Kuna jamaa mmoja hivi ambae kwasasa yupo kwenye mahusiano na na mwanamke ambae nilishaachana nae (ex wangu), huyo jamaa nadhani amenifahamu kupitia fb maana mimi na huyo mwanamke wangu wa zamani bado facebook ni marafiki, sasa...
  2. Heisenberg blue meth

    Mimi ni nani? introvert, extrovert au mtu mwenye aibu? Sielewi

    Kati ya nyuzi zangu niliowahi kuandika humu, hii ndio ningependa iwe na wachangiaji wengi sana maana ni serious sana inayonihusu, nashindwa kujitambua kua mimi ni "Mtu wa kujichanganya sana na watu/Muongeaji" Au "Ni mtu ambae sijichanganyi kabisa, napenda kukaa mwenyewe/Anti-social au Shy...
  3. Heisenberg blue meth

    Yanga Vs Simba Special Thread

    Watani wa jadi tukutane hapa, kuelekea mechi ya Jumapili March 8 na mechi nyingine zijazo. Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club zamani "KUALA LUMPUR) ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshirikiLigi Kuu Tanzania Bara na ni mabingwa mara 27...
  4. Heisenberg blue meth

    Waliozaliwa tarehe 29/02 wanasheherekeaje Birthday yao? (FEBRUARY 29)

    Hivi kwa mfano unakuta mtu kazaliwa tarehe 29 mwezi wa pili, 29/02, na hii tarehe sio kwamba ipo kila mwaka, mwezi wa pili unakuaga na siku 28 mara kadhaa, inamaana kumbe kuna watu unapita mwaka mzima siku yao ya kuzaliwa haitokei kwenye kalenda?! Natamani sana ningezaliwa 29/02 maana hizi...
  5. Heisenberg blue meth

    Katika Singeli hakuna kama Msaga Sumu

    Mimi sio mpenzi sana wa Singeli, maana najuaga tu ni makelele, hamna cha maana. Nawasiiliza sana Eminem, Pink, Sia, Jay Z na wengineo wakali kama Barnaba Classic! Ila baada ya kusikiliza leo kwenye redio ya jirani anaipiga ngoma ya 'Msaga Poison' inaitwa MAMA WA KAMBO na WANANIOGOPA nimegundua...
  6. Heisenberg blue meth

    Jinsi nafsi au damu ya mtu aliyekufa inavyoweza kumsumbua mtu

    Habari. Hapa leo nazungumzia namna ambavyo damu ya marehemu na nafsi yake inavyoweza kumsumbua mtu aliyepo bado duniani. KWANINI NAFSI YA MAREHEMU IMSUMBUE MTU ALIYE HAI? *inawezekana kabla ya huyo mtu kufariki kifo chake kimesababishwa na watu, kumsababishia mtu kifo sio lazima umchome kisu...
  7. Heisenberg blue meth

    Hivi watumiaji wa Tigo internet mnaipendea nini?

    Leo vodacom imesumbua internet nikaona niunge GB2 za tigo kwa week nzima kwa shilingi 1500,aiseee mtandao upo slow sana, kudownload kitu cha GB1 tuu bi kasheshe! Yaani tigo ni ya kuotea sana sio mjini sio vijijini, 4G ya tigo kidooogo kwa mbali ndio inaifukuzia speed ya voda 3G! Watumiaji wa...
  8. Heisenberg blue meth

    Manchester City yafungiwa kushiriki UEFA kwa Miaka miwili

    Klabu ya Manchester City imefungiwa kushiriki kwenye mashindano ya Champions League & Europa League kwa misimu miwili na kulipa faini ya €30m kwa kukutwa na hatia ya kuvunja sheria ya matumizi ya fedha (UEFA Financial Fair Play). Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Heisenberg blue meth

    Marais wastaafu wamzika aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara Iddi Mohamed Simba

    Marais wastaafu Mhe.Benjamin Mkapa na Mhe.Jakaya Kikwete wameongoza maeflu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kumzika aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara Iddi Mohamed Simba katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar es Salaam. YETU MACHO. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Heisenberg blue meth

    Ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa, oa bikra

    Ndugu zangu, unapooa bikra, inamaana unakata utepe, unafungua sild, Wasichana wa kaliba hii wanaofunguliwa sild ni wazuri sana maana wao hawajawahi kufanya hicho kitendo, kwahiyo ni rahisi kurizika na mme wake, tofauti na wale ambao ni used ambao washapiga sana mechi mpaka inafikia hatua ya...
  11. Heisenberg blue meth

    Mwenye link ya lightweight OS kwa Netbook PC naomba anisaidie

    Niko na PC yenye low specifications hapa, sitaki win XP, nataka nidownload image ya lightweight OS nyingine, iwe LUBUNTU, Linux Mint au nyingineyo ya design hiyo, nataka link ya kawaida sio ya U-torrent mwenye nayo tafadhali, nipate image ya uhakika ya kuburn kwenye CD. Sent using Jamii Forums...
  12. Heisenberg blue meth

    Watangazaji wa Clouds wengi wao hawana taaluma kabisa

    Kwenye kipindi cha leo tena, wakiwa wanaongelea suala la vifo vilivyotokea Moshi kwa Mwamposa, Maoni ya watangazaji Geah Habibu na Mussa Hussein yamenishangaza sana, wameshindwa kuficha hisia zao za kuonyesha wapo upande gani wa kidini na kutoa maoni ya kishabiki. Geah Habibu na Mussa Husseni...
  13. Heisenberg blue meth

    Je, 2020 ni mwaka wa majanga kidunia na vifo vya watu maarufu?

    Mwaka huu 2020? ukiwa bado ni mpya kabisa, tumeshuhudia majanga mengi yanatokea kidunia pia na ndani ya nchi ya Tanzania, nini tafsiri yake? au ni mwaka wa majanga na utakaoondoka na watu maarufu? Kwa Tanzania hapa ndani ya mwaka huu ikiwa ni mwanzo wa february tuu, tayari tushapata vifo vya...
  14. Heisenberg blue meth

    Shaffih Dauda: Agent wa Mbwana Samata

    huyu jamaa mimi nilishamshtukiaga, maana alikua anampost sana samatta, kwenye kipindi chake cha michezo clouds anampigia sana debe samatta, sisi wataalamu tukahisi kabisa huyu jamaa atakua ndie agent wa samatta. Namskia hapa clouds Fm kwenye xxl jamaa kajitangaza kua yeye ndie agent wa samatta...
  15. Heisenberg blue meth

    Top 5: Idadi ya watu wanaoishi Dar, wengi wao wanatoka mikoa hii ukiacha wenyeji

    Mikoa mitano inayoongoza kuwa na watu wengi wanaoishi Dar, Utafiti huu nimeufanya tarehe 1 January mwaka huu, kutoka stendi za mikoa mbalimbali, mabasi na treni zinazorudisha watu Dar, kulingana na wingi wao. 1. Kilimanjaro - Mkoa huu ndio unaoijaza Dar kwa asilimia kubwa, mpaka sasa...
  16. Heisenberg blue meth

    Mwenye torrent link ya kudownload WINDOWS10 activated msaada please

    msaada wenu wakuu. nahitaji link ya kudownload torrent itakayoniwezesha kuidownload hii windows10 image bila shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Heisenberg blue meth

    Kipi kilikufurahisha mwaka huu unaoisha 2019 katika mapenzi?

    kwa upande wangu kuna manzi moja hivi ilinivutia sana, inajua mambo yani ile asubuhi tuu kabla hata ya mswaki unapigwa denda mpaka mdomo unakua mwekundu. halafu ni mtu wa kutoa sana, ashanipa kiwanja miguu 20x20 maeneo ya kigamboni, yuko poa sana.. kwasasa ameolewa lakini bado namuenjoy, naomba...
  18. Heisenberg blue meth

    Wanaume tupeane mbinu za kukwepa vizinga vya "Ya soda" christmas hii

    Hapa nishapigwa nyundo kama 2 hivi, na wote ni wanawake ambao naona hapo baadae wana manufaa, hi ndio hasara ya kujimwambafai maneno mengi sikukuu kama hii unaingia mitini! Au kesho nizime simu nini wazee maana sielewi bajeti na matumizi haviendi sambamba! Au nyie mnatumia njia gan kuruka...
  19. Heisenberg blue meth

    Uzi wa kutuma picha za mandhari ya sehemu mbalimbali hapa Tanzania

    Tanzania ni kubwa sana, nashangaa sana pale ninapoona kuna watu wamezaliwa dar, wakitoka sana wameenda kibaha, chalinze au mororogoro, hawajui mazingira mengine, wao wanajua tuu dar, wanasikia tuu mkoani mkoani! Uzi Huu uwe uzi wa kutuma picha za sehemu mbalimbali hapa Tanzania na kuandika ni...
  20. Heisenberg blue meth

    Hivi ukiulizwa kwanini unaoa kwa karne hii utajibu nini?

    Nawashangaa sana, jitu na ndevu zake utakuta eti linapitisha mchango eti nalo linaoa! Pumbavu!!! Ukiliulizwa kwanini unaoa, eti "natimiza nusu ya dinii " Nimeshawaona wengi sana wakijutia kuoa, tena mikoa tofauti, lakini ambacho sitakisahau ni kisa cha bwana sele, kijana mfanyabiashara mzuri...
Back
Top Bottom