Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Kati ya nyuzi zangu niliowahi kuandika humu, hii ndio ningependa iwe na wachangiaji wengi sana maana ni serious sana inayonihusu, nashindwa kujitambua kua mimi ni "Mtu wa kujichanganya sana na watu/Muongeaji" Au "Ni mtu ambae sijichanganyi kabisa, napenda kukaa mwenyewe/Anti-social au Shy person"?!?
Naomba nijielezee kwa ufupi nilivyo na namna ninavyoishi na baadhi ya mambo yangu, labda nyie wadau mtaniambia mimi ni nani?! Kama ni Introvert "napenda kukaa peke yangu" ili nijiunge kabisa na wenzangu waliopo kwenye huu uzi [emoji116]
Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?
Ok let's start!
Naanzia nikiwa dar nafanya kazi, nilikua naishi kigamboni, sikuzoeana na watu wengi mtaani zaidi nilikua nmefahamiana na balozi wa mtaa na jamaa mmoja hivi mlokole jirani yangu, kipindi ndio nimehamia hata huyu balozi hakunijua vizuri maana ni mtu wa salamu tuu, story mbili tatu! Halafu busy na mishe zangu sina story nyingi,nikiwa nipo nyumbani napenda sana kukaa ndani, naweza nikakaa ndani na mtu usijue kama nipo! Kiufupi sipendi kuonekana hovyo (Najidai naishi kama star flani hivi sipendi kuonekana hovyo kumbe hamna kitu vyuma vimeumana!), na ishu ni kwamba sipendi kuzoeana na kila mtu, kuna watu ambao mimi nawasalimia tuu hamna story tena siwaangalii usoni nikiwasalimia, na kuna wengine nikikutana nao nakua muongeaji sana mpaka kuna mda najishtukia kua mbona naongea sanaa?! Yaani inakua kama nachagua sana watu wa kupiga nao story (hata hivyo nina marafiki wachache, nikiona urafiki wetu hauna faida nakucancell fasta tuu)
Ok tuendelee! Wakati naishi hapo kigamboni, niseme tuu ukweli, nilikua mtu wa kubadilisha wanawake sana, japo mimi nafanyaga kwa siri sana watu wasijue ila kuna siku moja hivi kuna mzee mmoja ambae sijazoeana nae hapo mtaani alimuita yule balozi niliyezoeana nae akamwambia " Ndugu yangu huyo kijana aliyehamia hapo wewe umezoeana nae hembu mshauri hata apunguze kubadilisha wanawake maana sio picha nzuri" so yule mzee alikuja akanishauri kua nijitahidi nitulie maana inakua sio picha nzuri nabadilisha sana wanawake, pia baada ya hapo miezi michache mbele mke wa huyo balozi nae aliwahi kunishauri kuhusu speed yangu hiyo ya kubadilisha wanawake kua sio jambo zuri bora nioe tuu magonjwa ni mengi.
.
.
Nimeliongelea hilo la wanawake kwa hichi kilichonitokea leo kilichonifanya niandike hii thread, yaani nmegundua kuna wanaonichukulia mimi ni SIJATULIA, MJANJA MJANJA SANA, MTU WA MADEMU na kuna wanaonichukulia mimi ni MPOLE KUPITA KIASI, DOMO ZEGE, NAPENDA KUJIFUNGIA NDANI, SIPENDI KUJICHANGANYA NA WATU, SIO MUONGEAJI KABISAAA!!
(Yaani watu wanavyonichukulia mpaka mimi nashindwa kujitambua nipo kundi gani?! Wapo wanaonichukulia hivi, wengine vile, lakini mimi mwenyewe najiona ni mtu wa JANJA JANJA SANA,SIPENDI MAZOEA NA KILA MTU, NAPENDA STORY NA WATU pia ni MTU WA TOTOZ JAPO NAFANYA KWA KUJIFICHA SANA NA SIPENDI KUENDEKEZA WANAWAKE KUNA MDA NAKUA SINGLE KWA KIPINDI KIREFU!)
Hiyo story ya kigamboni nimeileta kutoka na hii iliotokea leo ndio nimechoka kabisa!
iko hivi
nikiwa nipo mkoani huku kwasasa ndio ninapoishi, kuna msichana mmoja alikuja home kuna vitu aliagizwa aniletee, sasa wakati ananiletea nikatoka nnje nikasimama akavileta nikampokea, wakati huo navipokea kuna wadada fulani wa nyumba jirani walikua wapo nnje wamekaa, basi nikavipokea vitu nikarudi zangu ndani kujifungia kama kawa maana leo nipo tuu sina ishu, basi yule msichana akaondoka "huyo msichana nina mahusiano nae ya kimapenzi ila hakuna anaejua maana mimi ni mtu wa siri sana! ("nawachapa kiaina hapa mtaani ila ndio kwa siri sana")
Sasa usiku huu yule msichana kaja home kama kawaida, nae anaanza kuniletea zake "hutokagi nnje yaani unajifungia tuu yaani hata ukisafiri au ukiwepo haijulikani jichanganye na watu!" wakati ananishauri hivyo mimi nacheka tuu, sasa nikiangalia kabisa hapa kitaa hamna mshkaji labda wa kushinda nae sana sana nina kijiwe changu mida ya jioni ndio naenda kupiga sana soga huko lakini sio hapa mtaani.
basi bana si akanihadisia ya mda ule alivyotoka hapa home mchana kuniletea vile vitu, kumbe alivyotoka tuu wale madada wa pale jirani walimuita wakamdaka juujuu kwa mshangao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakamuuliza "hee! Wewe umezoeana vipi na yule kaka maana haongea na mtu, akisalimia haangalii mtu usoni yaani ni mtu wa kujifungia tuu hajichanganyi na mtu na hajawahi kuonekana hata na mwanamke, yeye akawaambia tuu ameagizwa tuu kuna mtu kampa vitu aniletee hamna kingine!!" aisee Kwanza baada ya kunihadisia hayo ikabidi kwanza nimchape shoo moja ya kibabe halafu ataendelea na maelezo baadae.
Sasa nikajiuliza inamaana hawa masista wananichukuliaje hadi wamuambie yule mwanamke hivyo!?
Kiufupi sijielewagi kwani wapo wanaonichukulia kwa mtazamo ambao naona kabisa ni tofauti na mimi ninavyojijua, wapo wanaoniona mimi ni totally shy person na introvert haswaaa na kuna wanaonichukulia viceversa kabisaaaaa!!
Mimi ni nani??!
Kwamimi najiitaga a.k.a yangu ni Secret Service Agent! Yaani mimi ni mwiko mtu kujua mambo yangu hasa ya mahusiano na mambo mengine yanayonihusu mimi.
Sijielewi nipo kundi gani.
Nikipata wachangiaji wengi walioserious na mada nitafurahi sana.
Au hii lifestyle yangu ya kutotaka mazoea na baadhi ya watu ndio shida?? Kwa kujifungia kiukweli najifungia, yaani ninakua na watu wangu ambao ndio naongea nao sana yani story kibao (wapo wanaume na wanawake pia)
Naweza nikaenda mahali nikakaa hata miezi 6 na nikarudi na watu wasijue nilisafiri au nilikuwepo, maana hata nikiwepo sionekani hovyo, kiukweli mimi sio muongeaji kihivyo[emoji48]
Wataalamu wa mambo mnaniweka katika upande upi au nipo moderate??
Sent using Jamii Forums mobile app