Yanga Vs Simba Special Thread

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,310
1,628
Watani wa jadi tukutane hapa, kuelekea mechi ya Jumapili March 8 na mechi nyingine zijazo.



Yanga Sc (jina kamili ni Young Africans Sports Club zamani "KUALA LUMPUR)

ni timu ya soka ya mjini Dar es Salaam iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshirikiLigi Kuu Tanzania Bara na ni mabingwa mara 27 nchini humo, Yanga ni mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.

Yanga Sc

Jina la utani - Wanajangwani

Uwanja - Uwanja wa Taifa /Uhuru Stadium

Mwenyekiti - Mshindo Msolla

Kocha - Luc Aymael


.
.
.
.
.
.
.
.
.


Simba Sports (Zamani Sundeland)

Club ni timu ya soka iliyopo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo, katika jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara

Ni mabingwa mara 20 wa ligi ya tanzania bara, pia ni mabingwa mara 6 katika kombe la Kagame.[1]

Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye viwanja viwili, Uwanja wa Uhuru na Uwanja wa Taifa.

Simba Sports Club ni mojawapo ya timu kubwa ya mpira wa miguu nchini Tanzania, wapinzani wao wanaitwa Vijana wa Afrika yaani Younɡ Africans.


Mwanahisa - Mohammed Gulam Dewji (anamiliki 49% ya simba Sc)

Kocha - Sven Ludwig Vandenbroeck

unnamed.jpeg
unnamed%20(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upuuzi kama hujui kitu sio unakurupuka unatakiwa uulize umeandika vzr ila kwa haraka haraka mno
Rekebisha makombe ya ligi kuu ya simba kabla sijapepesa macho
 
Back
Top Bottom