Marais wastaafu wamzika aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara Iddi Mohamed Simba

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,310
1,628
Marais wastaafu Mhe.Benjamin Mkapa na Mhe.Jakaya Kikwete wameongoza maeflu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kumzika aliyewahi kuwa waziri wa viwanda na biashara Iddi Mohamed Simba katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar es Salaam.

YETU MACHO.

itvtz_20200214_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM ana muda kwenda kufungua ofisi ya wilaya lakini sio waziri mwenzake waliohudumu wote awamu ya 3!
 
Back
Top Bottom