Search results

  1. Mr.mzumbe

    Neno la "Mwendazake"

    Sitaki hata kuanza na salamu.. Hili neno kwa mara ya kwanza nimelisikia kipindi cha msiba wa marehemu Magufuli likitumika sana kwenye media za kenya kama ktn, ntv. Mapumziko kidogo. Siku za mwanzo za msiba nilikuwa naangalia sana media za Kenya,kwasababu angalau wao walikuwa wanaBalance story...
  2. Mr.mzumbe

    Pendekezo la mabadiliko ya PAYE lilifanikiwa kupita?

    Mara ya mwisho niliona sample ya calculator ya PAYE calculations kama sehemu ya mapendekezo ya bajeti mpya ya serikali ya 2020/2021. Hii sheria au pendekezo lilifanikiwa kupita? Najaribu kuangalia calculator kwenye website ya tra lakini sioni tofauti yeyote ile na makato ya zamani. Ebu...
  3. Mr.mzumbe

    Fao la kujitoa

    Kwa kweli sikupata bahati ya kusikiliza hotuba yote ya JPM, nimeambulia viClip tu. Mpaka sasa kuna mkanganyiko mkubwa sana wa hotuba yake, hii imeleta sitofahamu kubwa sana, lakini kwasababu JF wapo maGreaters thinkers wakutosha, nafikiri mkanganyiko wangu na raia wengine unaweza kuisha...
  4. Mr.mzumbe

    Sokoine kweli alikuwa ni shujaa?

    Kwanza niseme tu, mimi kipindi Sokoine anakuwa kiongozi mimi nilikuwa bado sijazaliwa, mimi kama watanzania wengine nimeweza kumsoma tu kwenye vitabu mbalimbali. Vitabu vinasema huyu bwana alikuwa ni Waziri mkuu wa tatu (3) na kiongozi shupavu sana, vimeenda mbali zaidi na kusema yeye ndiye...
  5. Mr.mzumbe

    Naona kama TCU kuna kitu hakipo sawa

    Wakuu, Kwanza nianze kwa kusema, mimi siyo muombaji wa TCU, mimi nilimaliza chuo miaka kama mitatu minne hivi iliyopita. Naandika hapa baada ya kuona sitafahamu kwenye matokeo ya TCU. Najaribu kuangalia matokeo ya madogo mbalimbali lakini naona wamekosa chuo, shida inakuja kuna watu wamepata...
  6. Mr.mzumbe

    Kodi ya serikali kwa wafanyakazi (PAYE)

    Salaam, Ndugu zangu naombeni kujua kitu kidogo kuhusiana na PAYE (Paye As You Earn). Kila siku magufuli na CCM wanatukalilisha kodi imeshuka mpaka 9% lakini mm kwenye mshahara wangu sioni kushuka chochote kile. Ndiyo kwanza naona kama % zimezidi mara dufu baada ya mshahara kupanda. Kwa mfano...
  7. Mr.mzumbe

    Leo nimebaguliwa na Wahindi

    Habari, Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi...
  8. Mr.mzumbe

    Galaxy pocket inauzwa kwa 110000 tu..

    Husika na kichwa cha habari hpo juu. Nicheck on:+255 656 649 962.. Napatano yanarusiwa,simu ina 6 miezi
  9. Mr.mzumbe

    Samsung galaxy pocket inauzwa.

    Habari za jioni jf memba, Samsung galaxy pocket(GT-S5301) inauzwa kwa bei ya 145,000tsh.Bei inaweza kushuka. Mawasiliano:0762 465 411 Note: 1.Simu ni used,ina miezi 2 tangu inunuliwe. 2.Nitakupa warrant ya duka husika(1 year) 3.OS n Android 4.0.1 4.Simu haina mikwaluzo
  10. Mr.mzumbe

    Tanzia ndiyo nini????

    Habari zenu wanajf... Mara kwa mara napata matangazo/taarifa za msiba kupitia hapa jf,lakini cha kushangaza mara zote zinakuwa na heading inayoanzia na TANZIA. Najiuliza maswali mengi juu ya hili lakini mara zote nakosa jibu!!! Mara nyingi najiuliza maswali yafuayayo:- 1.hii tanzia ni moja...
  11. Mr.mzumbe

    Pande zote za shilling kuhusu nyerere,kitendawili kigumu!

    Pande zote za shilingi kuhusu Nyerere, kitendawili kigumu Mwandishi Wetu Toleo la 263(rai mwema) 17 Oct 2012...
  12. Mr.mzumbe

    how to unlock blackberry bold 9700

    salaam, nitawezaje ku-unlock my bb bold 9700.najaribu kutumia njia mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijapata njia ya maana na yenye nafuu. njia nyingi nilizozitumia mwisho zinaitaji mep code,ambazo online zinapatikana kwa salio. Naamini jf ndio kila kitu hakuna kuharibika wala kushindikana kitu...
  13. Mr.mzumbe

    mATOKEO YA NITONYE YA form six{6}

    Huyu kijana kamaliza mwaka huu.Kweli necta wanaharamu,munajua kapta nini?? POLE SANA NDUGU nitonye.Leo kwako kesho kwa invisible au paw.
  14. Mr.mzumbe

    hAWA NECTA VIPI BANA!!!!!ETI WAMENIANDIKIA FLD.

    Jamani FLD ndio nini?????haya majaaa wameniandikia kwenye matokeo yangu ya form six!!!!!!naona kuna kila sababu ya kuvunja muungano. Ebu nipeni ushauri nifanye nn jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  15. Mr.mzumbe

    wAZIRI APOTEA MSITUNI ALIPOKUWA KWENYE ZIARA ZA KIKAZI.

    Kijana mmoja kwa jina anaitwa Waziri Jumbe,mkata mbao.Amepotea jana jioni kwenye mazingira ya kutatanisha alipokuwa kwnye ziara zake za kila siku.
  16. Mr.mzumbe

    jK NA KIKAO CHA WAZEE WA DARSLAM.

    Jamani vipi,kikao kipo?nilisikikia leo ataongea nao. Au bado yupo kwnye kuhani msiba Malawa?
  17. Mr.mzumbe

    Prof.MAJIMAREFU anauliza swali bungeni.

    Mulisema hajasoma na wala hajui lugha ya kidhungu,mbna anauliza swali kwa lugha safi kabisa ya malikia.
  18. Mr.mzumbe

    Karibu air-CHADEMA tiketi zinaelekea kuisha

    Habari wana Jf, karibu MIGAMBA YOTE ambyo bado wapo CCM. Aircdm tiketi zinaelekea kuisha,wale wote munaosuasua muda ndio huu.Ikifika 2014 hatutakuwa tayari kukubali gamba lolote lile.January,nape,shigela,bashe{huyu anaogopa kibarua kwa rostam kitaota chasi}.
  19. Mr.mzumbe

    Sijui watani-malima??

    Kesho Mungu akipenda natarajia kuanza safari ya kurudi Mzumbeni/MOROGORO, mnamo majira ya saa 2 au 3 usiku nitakuwa nimefika Moro, kwa mida hiyo ninapaswa kulala Moro mjini/gesti halafu asubuhi mzumbeni. Shida inakuja tabia ya vijana wa Moro kama wenyewe muijuavyo. Ndugu zangu naombeni ushauri...
  20. Mr.mzumbe

    Mrithi wa Dr. Mponda mnamjua??

    As-salaam alykum wanajf, habari nilizopata kutoka kwa mtu mmoja jina lake kwenye kikapu ni kwamba Kikwete anatarajiwa kumtangaza Prof.MAJIMAREFU mbunge wa tanga kuwa mrithi wa Dr.Mponda. Ebu tupeni CV ya prof.majimarefu kwa uchache. Hii ndio bongo bwana,kila kitu kinawezekana. Waswahili...
Back
Top Bottom