Pendekezo la mabadiliko ya PAYE lilifanikiwa kupita?

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Mara ya mwisho niliona sample ya calculator ya PAYE calculations kama sehemu ya mapendekezo ya bajeti mpya ya serikali ya 2020/2021.

Hii sheria au pendekezo lilifanikiwa kupita? Najaribu kuangalia calculator kwenye website ya tra lakini sioni tofauti yeyote ile na makato ya zamani.

Ebu naombeni mrejesho wake mwenye taarifa kamili.

Asante.
 
Kwa watumishi wa umma mtaona mabadiliko kwenye salary ya mwezi wa 7. Achana na calculator za TRA, Dotto ndiye aliyeshika ufunguo, sheria ya bajeti ilishapita na rais alisaini.
 
Tupandishwe madaraja jamani since 2014??? Hali ni mbaya sana
 
madaraja,madaraja,madaraja,mwaka wa saba huu naufukuzia sijawahi panda daraja!!!
 
Tatito vyama vya wafanyakazi wapo kimya kama siyo kazi yao vile. Madaraja hakuna kwa miaka zaidi ya mitano lakini bado wapo kimya,kama wanashindwa kuongea basi watume hata barua.
 
Simple, kama mwajiri hakuthamini, na wewe unaweka go-slow. Ngoma draw. Kazi ambayo ungeifanya siku moja, unaifanya kwa siku tatu.
 
Mara ya mwisho niliona sample ya calculator ya PAYE calculations kama sehemu ya mapendekezo ya bajeti mpya ya serikali ya 2020/2021.

Hii sheria au pendekezo lilifanikiwa kupita? Najaribu kuangalia calculator kwenye website ya tra lakini sioni tofauti yeyote ile na makato ya zamani.

Ebu naombeni mrejesho wake mwenye taarifa kamili.

Asante.
Kwani ulisikia bajeti imepingwa? Subiri mwisho wa mwezi!
 
Mara ya mwisho niliona sample ya calculator ya PAYE calculations kama sehemu ya mapendekezo ya bajeti mpya ya serikali ya 2020/2021.

Hii sheria au pendekezo lilifanikiwa kupita? Najaribu kuangalia calculator kwenye website ya tra lakini sioni tofauti yeyote ile na makato ya zamani.

Ebu naombeni mrejesho wake mwenye taarifa kamili.

Asante.

Pendekezo lilisemaje kuhusu PAYE, andika kwa ufupi tu
 
Back
Top Bottom