wAZIRI APOTEA MSITUNI ALIPOKUWA KWENYE ZIARA ZA KIKAZI.

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
Kijana mmoja kwa jina anaitwa Waziri Jumbe,mkata mbao.Amepotea jana jioni kwenye mazingira ya kutatanisha alipokuwa kwnye ziara zake za kila siku.
 
Mabosi wa magazeti ya Kiu, Ijumaa, Risasi hawajakuona nadhani !
Wakikuona hawakuachi ng'oo!
 
..............si haba umejiongezea post na umeingia katika list ya waliowahi kuanzisha threads.
 
Loh.... umeniweza nilidhani ni nyooka kapotea ba dhana yake ya piga kumbe mpasua mbao
 
Back
Top Bottom