Sijui watani-malima?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui watani-malima??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mr.mzumbe, Mar 11, 2012.

 1. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kesho Mungu akipenda natarajia kuanza safari ya kurudi Mzumbeni/MOROGORO, mnamo majira ya saa 2 au 3 usiku nitakuwa nimefika Moro, kwa mida hiyo ninapaswa kulala Moro mjini/gesti halafu asubuhi mzumbeni.
  Shida inakuja tabia ya vijana wa Moro kama wenyewe muijuavyo.
  Ndugu zangu naombeni ushauri wenu ili nami wasini-MALIMA.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sasa tutashauri hata jinsi ya kumpandisha bata kwa kuku.

  Wanakuja washauri wa maana, wengine tushafulia.
   
 3. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tembea na AK-47
   
 4. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Kaka kongosho naheshimu sana mawazo yako, ebu nipe ushauri bwana au unapenda wani-MALIMA?
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  hiyo ni kwa mawaziri na wanajeshi tu.
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...don't suck anything.
   
Loading...