how to unlock blackberry bold 9700

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,014
957
salaam,
nitawezaje ku-unlock my bb bold 9700.najaribu kutumia njia mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijapata njia ya maana na yenye nafuu.
njia nyingi nilizozitumia mwisho zinaitaji mep code,ambazo online zinapatikana kwa salio.
Naamini jf ndio kila kitu hakuna kuharibika wala kushindikana kitu ndani ya jf.
maisha mema wote.
 
Hi urahisi unaweza kufungua Blackberry wako 9700 kwa kutumia kufungua code. Kama unahitaji kufungua kanuni unaweza kutembelea tovuti hii Unbblock.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua Blackberry yako 9,700 kwa urahisi
 
salaam,
nitawezaje ku-unlock my bb bold 9700.najaribu kutumia njia mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijapata njia ya maana na yenye nafuu.
njia nyingi nilizozitumia mwisho zinaitaji mep code,ambazo online zinapatikana kwa salio.
Naamini jf ndio kila kitu hakuna kuharibika wala kushindikana kitu ndani ya jf.
maisha mema wote.
  • Hii link aliyotoa mkuu doracute nayo inahitaji salio.
3ivh.png

  • Je ni kwamba hauna jinsi ya kulipia online? - Kama ni ndio naweza kukufanyia hayo malipo na ukapata unlock codes zako.
  • Pitia kwenye hii link
    Code:
    [URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL]
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom