Search results

  1. Kiwa

    Rais wa nchi- member ndani ya JF

    kwa ninavyofahamu mimi rais wetu wa JMT ana account twitter na Facebook kwa ajili ya kutoa updates na kukusanya mawazo. vivyo hivyo imekuwa kwa marais wengi kama obama na kagame kuwa na accounts kwenye social networks ambazo ziko verified. swali je rais wetu ana account JF ambayo iko verified...
  2. Kiwa

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama. Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu. Source: News...
  3. Kiwa

    Boss ndani ya JF

    Nimeingia ofisini kwa boss wangu mmoja hivi ambae ni kauzu kweli kweli. kifupi hakuniona nikiingia,nilipopiga jicho kwenye screen yake nikakuta anapost kitu JF. Kwa ukauzu wa huyu boss wangu nina hamu sana ya kuijua ID ili nilinganishe anayopost na ukauzu wake ofisini.
  4. Kiwa

    star tv,star tv,star tv!nimeruka mkojo nimekanyaga mavi

    yani haraka haraka nimekwepa foleni na kufanikiwa kufika home saa 19:55.lengo ni kucheki news ili nijue kilichojiri leo juu ya kesi ya zitto na kikao cha CDM. Dah kufika tu nikavua shati,Kifua wazi,mara shemeji yenu kaleta juice.nikapiga mahesabuuuuuu ,nikaona TBC1 hapana huku watabana.basi...
  5. Kiwa

    msaaada kuhusu picha ya nyerere

    wakuu naomba msaada. nimepita katika kijiwe kimoja nikasikia vijana wanabishana kuhusu mambo ya siasa. kimoja kati ya walichokuwa wanabishana ni kwamba hayati mwalimu nyerere alikuwa havai nguo za chama chake CCM. waliponiona waliomba maoni yangu kuhusu hilo.kiukweli binafsi katika kumbukumbu...
  6. Kiwa

    kapuya asalimika

    hii ni kutokana na macho masikio na mawazo yote ya watanzania kuhamia kwa zitto na CHADEMA. kuanzia leo usitarajie kuona story ya alhaj kapuya iki make headlines. in short mzee kapuya kasalimika katika hili.
  7. Kiwa

    The world's most powerful people

    Nimeangalia hii list ya forbes nimeshindwa kuielewa.The World's Most Powerful People List - Forbes . Ni vigezo vipi vinatumika kumjua huyu mtu ni powerful? Maana sijajua kigezo cha putin kuwa juu ya obama (if they refer to powerful nation). sijajua why bill gates yuko juu ya David Cameron...
  8. Kiwa

    kumegewa ni siri ya ndani???

    kuna bwana mdogo mmoja wa miziki hii ya kizazi kipya,nimemsikia anasema eti "kwa wajanja kumegewa ni siri ya ndani" kweli???!is he serious kweli?anaongelewa kumegewa my wife wangu,mama ya watoto wangu au kidemu tu? ebu hawa watoto wawe serious kidogo.wacha kabisa habari ya mama watoto kumegwa...
  9. Kiwa

    Je hili lina ukweli wowote?

    Katika pita pita zangu nimekutana ma hii: "Rafiki wa mwanamke pesa,sasa wewe nyanyua chuma ukawe mlinzi" Ina ukweli wowote? Mwenye hangover au stress apite tu kimya kimya
  10. Kiwa

    Kwanini wahudumu wa bar hufanya hivi?

    Scenario: Mmekaa wawili (mwanamke na mwanaume) bar mnakunywa na kula kwa raha zenu, Inafika kipengele cha kulipa BILL muhudumu analeta BILL na kumkabidhi mwanaume Swali; Kwanini wahudumu hukabidhi bill kwa wanaume na sio wanawake? Utata; *Je ni mawazo au uzoefu walionao wahudunu kwamba...
  11. Kiwa

    Hakatwi mtu hapa

    Wandugu hili tangazo la airtel kidogo linanipa wasiwasi, The way wanavyoliweka ni kama maneno yale ya mtaani ambayo neno "kukatwa" lina maana tata kidogo Yan nikimuangaliaga JB anavyotamka ile "hakatwi mtu hapa" naona kabisa kuna kitu nyuma ya pazia ana maanisha Anyway inawezekana ni mawazo...
  12. Kiwa

    Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

    Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort! Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort? Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. Kiwa

    Msaada: ku- unlock iphone 4s (urgent)

    Wakuu, Kwa mtu yeyote anayeweza ku unlock iphone 4s toka UK au anaemjua mtu anayeweza please assist and aniambie na gharama ya hiyo service Ningefanikiwa mapema zaidi ningeshukuru wakuu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. Kiwa

    Photo: Hata kama ni michezo lakini hii TOO MUCH

    1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
  15. Kiwa

    MSAADA: Idadi ya majimbo, kata na vitongoji TANZANIA

    Habari wakuu, Ni wapi naweza kupata twakimu za majimbo, kata na vitongoji vyote vya Tanzania na vyama vinavyotawala maeneo yao. nimejaribu kufungua website ya NEC http://www.nec.go.tz/ but haifunguki na sina uhakika kama twakimu hiyo itakuwepo. Msaada tafadhali.
  16. Kiwa

    Langa akikutana na mangwear

    Kwa ninavyohisi kama langa anaona haya yanayotokea kuna mengi sana atakuwa anajiuliza na kama kweli huko alipo ataweza kukutana na Ngwear atamuuliza maswali mengi sana. Kikubwa atataka ajue ni kitu gani Ngwear alifanya ambacho langa hakufanya ambacho kimefanya kifo chake kisipewe uzito kama cha...
  17. Kiwa

    Mwanaume kukaa kwa wazazi!

    Habari zenu wakuu! Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya zaidi wengine unakuta wanakaa kwa ndugu very comfortable! Kinachonikera hawa vijana ndo wa kwanza...
  18. Kiwa

    Ndani ya bunge

    Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  19. Kiwa

    Hivi kwanini wachezaji ulaya wanashikana makalio?

    Mimi hapa huwa siwaelewi kabisa!ina maana na boban nae walimshikaga alivyokuwa ulaya? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  20. Kiwa

    Hamu ya mapenzi na hasira!

    Habari zenu wakuu, Mimi swali langu ni fupi tu!kuna uhusiano gani wa hamu ya mapenzi (nye**) na hasira?! Nimejichunguza muda mrefu kidogo na nimegundua nisipopata yale mambo kama kwa wiki hivi nakuwa wa ajabu ajabu yan,kazi haziendi,uwezo wa kufikiri unapungua,hasira hasira bila mpango!Ila pindi...
Back
Top Bottom