Kwanini wahudumu wa bar hufanya hivi?

Kwanini wahudumu wa bar hufanya hivi?

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
910
Scenario:
Mmekaa wawili (mwanamke na mwanaume) bar mnakunywa na kula kwa raha zenu,
Inafika kipengele cha kulipa BILL muhudumu analeta BILL na kumkabidhi mwanaume

Swali;
Kwanini wahudumu hukabidhi bill kwa wanaume na sio wanawake?

Utata;
*Je ni mawazo au uzoefu walionao wahudunu kwamba wanawake hawawez kusimamia show zao na wanasubiri walipiwe?
*Je ni kuonyesha heshima kwa mwanaume kama kichwa?

Angalizo;
Usitumie jazba wakati wa kujibu,kama una stress soma kama guest upumzike!
 
Teh reh reh sababu wao ni watu wa kulipiwa kila siku.
Wanajua kuwa mtoko huo lazima kasikakia mwanaume
 
Watapita hapa sasa hivi wakutolee uvivu,me simo
 
Scenario:
Mmekaa wawili (mwanamke na mwanaume) bar mnakunywa na kula kwa raha zenu,
Inafika kipengele cha kulipa BILL muhudumu analeta BILL na kumkabidhi mwanaume

Swali;
Kwanini wahudumu hukabidhi bill kwa wanaume na sio wanawake?

Utata;
*Je ni mawazo au uzoefu walionao wahudunu kwamba wanawake hawawez kusimamia show zao na wanasubiri walipiwe?
*Je ni kuonyesha heshima kwa mwanaume kama kichwa?

Angalizo;
Usitumie jazba wakati wa kujibu,kama una stress soma kama guest upumzike!
kwa sababu mwanamke ni ubavu wa mwanaume.
 
kwasababu wanajuwa wazi kuwa
"wanawake wana akili ya kujumlisha tu"

wao kutoa pesa kwao ni kama dhambi
Sio kweli.
Wanaume ni mapritendaaaaaaa. Wanapenda sana kujishow off ilhal mioyo yao inauma. Utasikia "let me take care of this" kama kaombwa.
So wahudumu wanaokoa muda kwa kupeleka bill moja kwa moja kwa mapritendaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom