Msaada: ku- unlock iphone 4s (urgent)

Msaada: ku- unlock iphone 4s (urgent)

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
910
Wakuu,
Kwa mtu yeyote anayeweza ku unlock iphone 4s toka UK au anaemjua mtu anayeweza please assist and aniambie na gharama ya hiyo service

Ningefanikiwa mapema zaidi ningeshukuru wakuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwanza uko wapi? Imelokiwa na mtandao gani? maana kuna nyingine ni nearly impossible
 
Kwanza uko wapi? Imelokiwa na mtandao gani? maana kuna nyingine ni nearly impossible

Niko Dar,imelokiwa na vodafone

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wakuu,
Kwa mtu yeyote anayeweza ku unlock iphone 4s toka UK au anaemjua mtu anayeweza please assist and aniambie na gharama ya hiyo service

Ningefanikiwa mapema zaidi ningeshukuru wakuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Hi unaweza kwa urahisi kufungua iphone4s yako kwa kutumia njia ya kijijini kufungua. Kama unahitaji huduma kijijini kufungua unaweza visi tovuti hii Superunlockcodes.com hapa unaweza kupata huduma na kufungua iphone4s yako kwa urahisi. Gharama ya kurejelewa ni msingi kwenye simu bidhaa yako, mfano, mtandao na nchi imefungwa yake ya sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom