Kiwa
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,102
- 910
kwa ninavyofahamu mimi rais wetu wa JMT ana account twitter na Facebook kwa ajili ya kutoa updates na kukusanya mawazo. vivyo hivyo imekuwa kwa marais wengi kama obama na kagame kuwa na accounts kwenye social networks ambazo ziko verified.
swali je rais wetu ana account JF ambayo iko verified?. hii platform ya hapa nyumbani so kama rais angekuwa member nadhan angeweza kuona muelekeo wa yale wananchi wake wanayoyawaza na kuyafikiria.
kama hana naomba ashauriwe awe nayo. kama anayo naombeni ID yake.
tusupport vya nyumbani wandugu rais akiwa mfano sio tu kuendekeza hayo mafacebook na matwitter
ni hayo tu