Search results

  1. M

    Je, kila route ya ATCL inalalamikiwa kuchelewa kuondoka au ni dharura na inatolewa taarifa?

    JE KILA ROUTE YA ATCL INALALAMIKIWA KUCHELEWA KUONDOKA AU NI DHARURA NA INATOLEWA TAARIFA? Leo 14:15pm,27/10/2019. Naipenda ATCL kama shirika letu,Napenda kupanda Bomberdier na Airbus kwa Safari za ndani ya nchi,na Boeing kwa Safari za nje ya Nchi,kwa hakika huduma zao ni nzuri sana,hakuna...
  2. M

    Wapinzani wanauliza, kwanini leo madaraja yanavunjika halafu tunanunua midege?

    WAPINZANI WANAULIZA, KWANINI LEO MADARAJA YANAVUNJIKA HALAFU TUNANUNUA MIDEGE? Leo 12:15pm,27/10/2019. Ukifuatilia kelele hizi utafikiri mambo mengine yote hayafanyiki nchini isipokuwa ununuzi wa ndege tu,Niwakumbushe faida iliyotangazwa Jana ya dola Milioni 14 na bilioni 1.5 iliyotolewa...
  3. M

    Karibu Rubondo Island

    KARIBU RUBONDO ISLAND. Leo 10:15pm, 27/10/2019. Sasa Watalii kutoka Gatwick London nchini Uingereza, New York nchini Marekani, Mumbai na New Delhi nchini India, Guangzhou nchini China wataweza kusafiri moja kwa moja toka nchini kwao kwa Usafiri wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa...
  4. M

    Wakati wa binadamu si wakati wa Mungu

    WAKATI WA BINADAMU SI WAKATI WA MUNGU. Leo 12:15pm,20/10/2019. Mwaka 2008 aliyekuwa mgombea Urais wa Ghana kupitia chama cha NDC,Prof John Atta Mills alipatwa na upofu ghafla akiwa kwenye kampeni na kuwahishwa kwenye Matibabu nchini Afrika ya Kusini. Kesho yake Magazeti nchini Ghana...
  5. M

    Kambi ya mzinga na maghorofa mafupi Morogoro

    KAMBI YA MZINGA NA MAGHOROFA MAFUPI MOROGORO. Leo 14:15pm,19/10/2019. Mji wa Morogoro ambao una maghorofa machache,ni mji ambao ulikuwa mahali pa kutunza Usalama wa nchi kwani kambi kubwa za kijeshi zilipata kuwa hapo,Majengo ya maghorofa yalikuwa yasiyozidi ghorofa moja si kwamba ardhi...
  6. M

    Ndege tatu zanunuliwa kwa faida iliyotokana na ndege nane zilizopo

    NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO. Leo 13:15pm,16/10/2019. Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida iliyopatikana kwenye biashara ya ndege nane zilizopo. -Hitaji la Wasafiri lazidi usafiri wa ndege...
  7. M

    Reli ya Standard Gauge, bwawa la Rufiji, ndege ATCL vinatosha kujibu hoja ya Zitto

    RELI YA STANDARD GAUGE,BWAWA LA RUFIJI,MIDEGE ATCL VINATOSHA KUJIBU HOJA YA ZITTO. Leo 10:15am,29/09/2019. Awamu ya tano ina miradi mingi nchi nzima,miradi inayoonekana kwa macho na sio miradi hewa ama ya kitapeli kama miradi tuliyowahi kuisikia siku za nyuma,Miradi mingi ya barabara nchi...
  8. M

    Tatizo la Morogoro ni nini?. Je, ni wakulima na wafugaji,ajira ama ni rushwa?

    TATIZO LA MOROGORO NI NINI,JE NI WAKULIMA NA WAFUGAJI,AJIRA AMA NI RUSHWA. Leo 12:15pm,22/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini hakuna Kilimo cha uhakika cha biashara licha ya uwepo wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. -Historia ya...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Nitatia nia Morogoro 2020

    MOROGORO NYUMBANI. Leo 08:30pm,19/09/2019. Morogoro,Mji kasoro bahari,wenye mito inayotiririka masaa 24 na mabwawa makubwa lakini maji ni changamoto,umeme nao mita kadhaa kutoka mjini bado ni shida mfano Kasanga,kata ya Mindu. Naamini onyo la Mh Waziri Mkuu kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro liende...
  10. M

    Rais John Magufuli ndiye sampuli ya Mtanzania mwenye maadili mema

    KOMREDI JOHN MAGUFULI, NDIYE SAMPULI YA MTANZANIA MWENYE MAADILI MEMA Leo 15:15pm,15/09/2019. Komredi Rais John Magufuli ndiye muungwana na mstaarabu anayefuata mambo mema yaliyokubaliwa katika jamii, naamini ndiye Kiongozi mwenye kuita koleo ni koleo na kijiko ni kijiko, ndiye mwenye...
  11. M

    Tundu Lissu shujaa wa kota na stori ya chura ndani ya kidimbwi

    TUNDU LISSU SHUJAA WA KOTA NA STORI YA CHURA NDANI YA KIDIMBWI. Leo 13:15pm,08/09/2019. Tundu Lissu anasema angependa kupokelewa na watu wengi iwezekanavyo, baada ya yote ambayo amepitia, na ambayo nchi yetu imepitia, tangu Septemba 7, 2017. Nianze na neno "Nchi yetu" Lissu hana uhalali wa...
  12. M

    Robert Mugabe na Chimurenga,Afrika Kusini na xenophobia

    ROBERT MUGABE NA CHIMURENGA,AFRIKA YA KUSINI NA XENOPHOBIA. Leo 10:20am,07/09/2019. Pumzika kwa Amani komredi Robert Mugabe rafiki wa Tanzania na mwenzi katika harakati. Komredi Robert Mugabe mwanamapinduzi wa kuigwa katika bara la Afrika na mzalendo wa kweli wa Afrika. Komredi Robert...
  13. M

    Ipende nchi yako

    IPENDE NCHI YAKO. Leo 10:15am,01/09/2019 Nikiwa shule ya msingi miaka ya 1990 pale Bungo Primary School,Morogoro.Tuliimba wimbo wa kizalendo ulioakisi ushindi wa vita vya Uganda kumtoa Nduli Iddi Amini Dada katika ardhi ya Tanzania.Tuliimba tukikimbia mchamchaka kwa uzalendo mkubwa na hakika...
  14. M

    Upinzani si kuua Taifa lako

    UPINZANI SI KUUA TAIFA LAKO. Leo 22:15pm,24/08/2019. Nianze kwa kutoa pongezi kwa Balozi Daktari Slaa ambaye amekerwa sana na upinzani unaofanywa sasa wa kuua Taifa la Tanzania nje ya mipaka yake.Balozi Daktari Wilbrod Slaa amekuwa mpinzani ndani ya bunge la Tanzania kwa miaka kumi na tano...
  15. M

    Kama Membe, Zitto au Mbowe angekuwa Rais

    KAMA MEMBE,ZITTO AU MBOWE ANGEKUWA RAIS!, Tusingekuwa na ATCL wala SGR, wala zile share zetu za Airtel tusingepata wala Bwawa la kuzalisha Umeme la Rufiji (Nyerere Hydro Power) tusingejenga. Barabara mpya 8 ya kimara kibaha tishio la Kenya tusingejenga. Gap kati ya maskini na matajiri...
  16. M

    Mazimbu Morogoro ni alama ya uhusiano wa kindugu kati ya Tanzania na Afrika Kusini

    MAZIMBU MOROGORO NI ALAMA YA UHUSIANO WA KINDUGU KATI YA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI. Leo 13:15pm,16/08/2019. Tunapoongelea kukoma kwa sera za ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, siku zote tutawakumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Nelson Mandela kwa utumishi wao...
  17. M

    Je, Rais John Magufuli atakuja kuwa mwenye heri!?

    JE RAIS JOHN MAGUFULI ATAKUJA KUWA MWENYE HERI!? Leo 13:15pm,12/08/2019. Pengine unaweza kuzidi kumpenda Rais John Magufuli baada ya kufuatilia ziara ya jana kuona Majeruhi wa ajali ya moto waliolazwa Hospitali ya Muhimbili tokea Morogoro. Ziara hiyo ilifuatiliwa kupitia kituo cha Television...
  18. M

    Marekani na Uingereza wanapomlilia kuwadi wao Kabendera,wakishindwa kutoa pole ya msiba wa watu 60 Morogoro

    MAREKANI NA UINGEREZA WANAPOMLILIA KUWADI WAO KABENDERA,WAKISHINDWA KUTOA POLE YA MSIBA WA WATU 60 MOROGORO. Leo 12:15pm,11/08/2019. Leo Taifa litawapumzisha ndugu zetu 60 katika makaburi ya Kola Hill,Morogoro. Lakini makuwadi wa Mabeberu wameshindwa kuwaambia Marekani na Uingereza kutoa pole...
  19. M

    Vifo vya moto Morogoro; Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani

    MWENYEZI MUNGU AWAPE PUMZIKO LA AMANI. Leo 18:55pm,10/08/2019. Yote yatasemwa lakini kila mtu ameandikiwa siku yake ya kurejea kwa Muumbaji wake,visababisho vyote ni kutimiza sababu ya wewe kurejea kwa Muumba.Ni kumuomba Mungu mwisho wako husiwe mbaya ama upate kupalizwa kwa Muumba au uende...
  20. M

    Big up to president John Magufuli

    BIG UP TO PRESIDENT JOHN MAGUFULI. Leo 21:19pm,09/08/2019. We have started from somewhere and Comrade John Magufuli has demonstrated the good that can come out of Tanzania. President John Magufuli has demonstrated the benefits of being a Patriot, He has been a true Patriotic Leader of the...
Back
Top Bottom