Kama Membe, Zitto au Mbowe angekuwa Rais

May 3, 2019
53
144
KAMA MEMBE,ZITTO AU MBOWE ANGEKUWA RAIS!,

Tusingekuwa na ATCL wala SGR, wala zile share zetu za Airtel tusingepata wala Bwawa la kuzalisha Umeme la Rufiji (Nyerere Hydro Power) tusingejenga.

Barabara mpya 8 ya kimara kibaha tishio la Kenya tusingejenga. Gap kati ya maskini na matajiri ingekuwa zaidi,na tajiri angeendelea kuwa na haki hata kama ana kosa, Nidhamu ya mahali pa kazi isingekuwepo,Wafanyakazi hewa wangeendelea kuongezeka, Madini yetu yangeendelea kunufaisha wageni,Wanyama wetu wangeendelea kupandishwa ndege kwenda Ulaya na Uarabuni,

Maofisa wa Serikali wangeendelea kupishana angani,Wakulima wangeendelea kunyang'anywa mashamba yao ili kupisha matajiri.
Na huenda akina Makamba na watoto wao ndo wangeendelea kula mema ya nchi, na huenda neno mtetezi wa wanyonge tusingelijua, na huenda Tanzania ya uchumi wa kati ingekuwa ndoto.

#TuepukeKaziNaBata.
#MbayaNiYaMatajiriTu.
 
Hoja yako ya msingi ni nini?
 
Siku zote wenye akili nyingi usifia mifumo, wenye akili za kati usifa sheria wenye akili ndogo usifia watu
KAMA MEMBE,ZITTO AU MBOWE ANGEKUWA RAIS!,

Tusingekuwa na ATCL wala SGR, wala zile share zetu za Airtel tusingepata wala Bwawa la kuzalisha Umeme la Rufiji (Nyerere Hydro Power) tusingejenga.

Barabara mpya 8 ya kimara kibaha tishio la Kenya tusingejenga. Gap kati ya maskini na matajiri ingekuwa zaidi,na tajiri angeendelea kuwa na haki hata kama ana kosa, Nidhamu ya mahali pa kazi isingekuwepo,Wafanyakazi hewa wangeendelea kuongezeka, Madini yetu yangeendelea kunufaisha wageni,Wanyama wetu wangeendelea kupandishwa ndege kwenda Ulaya na Uarabuni,

Maofisa wa Serikali wangeendelea kupishana angani,Wakulima wangeendelea kunyang'anywa mashamba yao ili kupisha matajiri.
Na huenda akina Makamba na watoto wao ndo wangeendelea kula mema ya nchi, na huenda neno mtetezi wa wanyonge tusingelijua, na huenda Tanzania ya uchumi wa kati ingekuwa ndoto.

#TuepukeKaziNaBata.
#MbayaNiYaMatajiriTu.
 
Utakuwa uko usingizini sijui shangazi au mjomba,?
Au unajua Jiwe ni malaika eeeh!! Pole sana.
 
1.Ben Sanane asingepotea
2.Azory Gwanda asingepotea
3.Trillion 1.5 zingejulikana zilikokwenda.
4.Aliyenunua kivuko mtumba kwa 8/b angewajibishwa.
5.Aliyegawia hawara zake nyumba za serikali angezirudisha.
6.Aliyesababisha barabara zipunguzwe upana kwa futi 1 ili kujinufaisha angewajibika.
7.....niendelee?
 
endelea kusifia hizo white elephants wakati hata soko la kuuza mahindi tu ni la kubabaisha, kila hotuba anaishia kuwashangaa wana SADC wenzake kwanini hawanunui mahindi kwetu, wadanganyika mtaishia tu kunyooshea vidole hayo ma 'statue' anayowajengea huku mkifa kwa kukosa ARVs na dawa za malaria.
 
Back
Top Bottom