Ndege tatu zanunuliwa kwa faida iliyotokana na ndege nane zilizopo

May 3, 2019
53
144
NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO.

Leo 13:15pm,16/10/2019.

Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida iliyopatikana kwenye biashara ya ndege nane zilizopo.

-Hitaji la Wasafiri lazidi usafiri wa ndege chache zilizopo.

Miezi sita iloyopita soko la Mbeya lilizidi usafiri uliopo,Abiria walikata ticket mwezi mmoja kabla na ndege ilijaa wiki mbili kabla ya Safari,hii ilipiga kengele kuwa ndege moja haitoshi kwa soko la Mbeya,hivyo zikaongezwa Airbus mbili ili kukidhi mahitaji ya soko la Mbeya tu.

Soko la nje nalo lilizidi usafiri wa ndege zilizopo,Airbus zilizotakiwa kwenda Comoro,Mauritania,Shelisheli,Burundi via Kigoma zikashikwa na soko la Mbeya,hii ikaleta tena ishara ya kuongeza ndege nyingine at least ziwe 30 ndipo zitakidhi hitaji la usafiri wa Anga kwa wateja wa Atcl.

Safari ya Mumbai,Guangzhou na Gatwick itahitaji uwepo wa ndege kubwa kama Boeing zaidi ya 6 ili kuondoa ile dhana ya Atcl kukatisha safari na kufaulisha kitu ambacho kiliwakwaza abiria na kukosa imani na shirila la ndege la Atcl na kulipa majina mbalimbali.

Ndege nane zilizopo ambazo zinatoa huduma katika sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi zimenunuliwa na Serikali ya awamu ya tano ambazo na kwa kiasi kikubwa zimesaidia kulirejesha shirika la ndege la Tanzania (Atcl) katika usafiri wa anga.

Shukrani kwa Wafanyakazi na uongozi katika kutoa ushauri na kupokea ushauri na kukubali majadiliano,

Katika baraza la Wafanyakazi kama chombo cha Mawasiliano ya kazi katika kuzungumzia mpango kazi na uchumi wa Atcl kwa kutathmini juu ya ufanisi na tija ili malengo ya kufanya Atcl kuwa taasisi kubwa kuweza kutumia.

-Mpango wa muda mfupi wa mwaka mmoja mmoja.

Atcl imefanikiwa kupunguza hasara ya bilioni 17 kutokana na kufanyia kazi baadhi ya maeneo ambayo yalikuwa ni changamoto ikiwemo ufutaji wa safari.

-Mpango wa muda mfupi umefanikiwa kuondokana na ufutwaji wa safari uliokuwa ukisababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo upungufu wa ndege na ukosefu wa abiria.

Atcl ilikuwa ikipata hasara ya bilioni 17 kutokana na kufuta safari lakini sasa hawafuti tena safari maana zipo ndege za kutosha na zitaendelea kununuliwa.

-Uthibiti wa Mapato

Kumekuwepo na udhibiti wa mapato kupitia mpango mkakati wa muda mrefu ambao ni wa miaka mitano mitano.

Mpango mkakati wa kutengeneza faida na kutoa huduma bora zenye uhakika kwa wateja kumetoa picha na tathmini ikiwa ni pamoja na kuangalia mambo ambayo ni hatari yatayoleta hasara na jinsi ya kukabiliana nayo.

-Boeing kutawala Soko la nje.

Nampongeza sana Mh Rais John Magufuli kwa ununuzi wa ndege kumi na moja ikiwemo Boeing tatu, Pia nalipongeza sana shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kwa kulirusha hili lidude (Boeing) routes za nje za Mumbai,Guangzhou,Gatwick, na Marekani,kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa kuna mashirika ya ndege yatapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali yatakufa rasmi kwasababu roho ya mashirika hayo, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mumbai na Afrika ya Kusini,ndege za mashirika mengine zimekosa abiria, hivyo sasa mashirika hayo yamekubali matokeo na kunyanyua mikono yao juu.

-Airbus na Bombardier zatawala soko la ndani nchini Tanzania.

Kufuatia ujio wa Airbus na Bomberdier za ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet kakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu,Precision nae ameendelea ku survive, kusarender routes za Mbeya na Kilimanjaro kwa Airbus za ATCL, Sasa Atcl inatawala routes nyingi za mikoa mingi ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea,Kigoma Iringa,Musoma,Zanzibar,Shelisheli,Mauritania,Burundi na Comoro.

-Uwepo wa Rada zetu kupunguza nauli kwa Usafiri wa Anga nchini.

Nampongeza tena Mh Rais John Magufuli kwa kuleta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa miaka zaidi ya 20 hatukuweza kumiliki ndege wala Rada,hivyo kuleta hasara kubwa kwa shirika la ndege la Tanzania pale ilipokodisha ndege na kulipia matumizi ya Rada za Kenya ambapo takribani zaidi ya Milioni mia nne zilikuwa zikipotea kwa mwezi.

Umiliki wa ndege zetu na Rada zetu kuleta "nafuu" yani nauli ambazo mtanzania wa kipato cha kati na hata cha kawaida kuweza kumudu, Hii itapelekea watanzania wengi kuona suala la kupanda ndege ni la kawaida, tofauti na zamani ilikuwa mtu kupanda ndege lazima uwe vizuri kweli kweli baada ya kuiba Mali ya Umma.

Naamini hivi sasa atcl haiwezi kufa kirahisi sababu ana international routes zaidi ya tano,Tunaiombea mema atcl ili sisi watumiaji tuweze kunufaika. Atcl sasa ina huduma bora na za kipekee,Sasa atcl inavuna wateja wengi zaidi. Siungi mkono hoja ya Atcl kuwa peke yao katiks soko, italeta shida sana kama ilivyo kwa usafiri wa majini hivi sasa.

-Ndege 11 za Atcl zarudisha heshima ya Tanzania.

Sasa ATCL sio tuu itatawala soko, bali sasa imerudisha heshima ya nchi, imerudisha heshima ya Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago mashirika mengine ya ndege uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi New York na Gatwick pale London,Uingereza.

ilikua ni aibu kwa nchi yetu kutokua na ndege za shirika lake la ndege, ukizingatia kila uchwao idadi ya watalii toka kona mbalimbali za dunia inaongezeka na wala sitaki tujilinganishe kwa kusema hata Rwanda walitushinda.Ilifika mahali watalii walikua wanapitia via Kenya Airways,Nairobi- Kenya kisha wanakuja Tanzania ili kukwepa gharama kubwa za safari na usumbufu wa ku connect flights (ingawa sina hakika kama hili limeisha) na hili Kenya walilichukua kama nafasi kwao hata wakaziandika ndege zao Mlima Kilimanjaro na Serengeti ili kupata watalii wanaotaka kutembelea Mbuga ya Serengeti na kupanda Mlima Kilimanjaro.

-Tumechoka kukodisha ndege za Afrika kusini na faida yote kwenda kwao.

Kuna wakati tulikodisha ndege za Afrika ya Kusini tukaishia kupata hasara kwa kuwa hata ticket namba walibadili yetu na kuweka ya kwao na hata rubani na Wafanyakazi wa ndege walitokea Afrika ya kusini,kwa hiyo tulitoa ajira kwa Wenzetu wa Afrika ya kusini.

Tumewahi kukodishiwa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 150 kuweza kutua Amsterdam na Gatwick lakini kumbe masharti ya mkataba yalisema tunatakiwa kubeba abiria 29 tu,kwa kweli tulionewa sana kwa ndege za kukodi,tuliwahi pia kukodi ndege lakini ilikuwa ikifanyia kazi Liberia na mara ilionekana Guinea ikibadilishwa rangi,kwa haya yote imetosha sasa Jemedari wetu Rais John Magufuli kaamua kununua ndege kwa Cash Money baada ya kuonewa kwa muda mrefu ilihali nchi yetu ni tajiri.

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia kama vile Tanzania haina wenyewe, mfano tu Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa,

Uwepo wa ndege kumi na moja sasa ATCL inaonyesha, kwenye usafiri wa anga kwamba Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet,na Precision wakifungasha virago abiria bado wataendelea kupanda Boeing,Airbus na Bomberdier za ATCL.

Taifa litaendelea kupata mapato na kutoa ajira kwa Watanzani, na kwa vile ATCL bado inaleta ndege nyingine hata kufikia 30 itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet na Precision na kutoa ajira zaidi kwa uwepo wa ndege 30 za Atcl.

Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

1. Ndege inaokoa muda; Safari ya basi, meli ama treni ambayo ungetumia siku nzima ama siku mbili kwa ndege unatumia dakika kadhaa kufika. Ndege inaokoa rasilimali muda kwa kusafirisha Watu na mizigo.

2. Ndege inatoa fursa za ajira; kupitia usafiri wa ndege inatoa fursa za ajira kwa wahudumu wa ndege, manahodha, wabeba mizigo, waongoza ndege, wakata tiketi, mafundi nk. Hivyo kupitia ndege inapunguza tatizo la ajira nchini kwa kuimarisha mapato binafsi ya Watu na kusaidia kuendesha familia zao na wategemezi wao.

3. Kufufuka kwa shirika la ndege; hakuna asiyejua shirika letu la ndege la ATCL lilikuwa kwenye hali mbaya, ununuaji wa ndege mpya unaleta uhai na ufufuo wa shirika la ndege linaloleta ushindani na uboreshwaji wa huduma za ndege nchini, inaleta heshima mpya kwa shirika kitaifa na kimataifa.

4. Inaongeza mapato ya nchi; kupitia makusanyo ya mauzo ya tiketi, kodi inayokatwa kwenye tiketi Serikali inaongeza kiasi cha makusanyo ya ndani ya nchi. Makusanyo hayo ndio huelekezwa kwenye huduma za kijamii, ujenzi wa miundo mbinu, kutoa elimu bure, kutoa huduma za kiafya n.k

5. Inasaidia shughuli za kibiashara; ndege inasaidia kusafirisha Watu na mizigo kwa Wafanyabiashara kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa haraka zaidi. Shughuli za kibiashara zinaporahisika zinasaidia mapato na uchumi wa nchi kuongezeka na kuimarika zaidi.

Mtu aliyepo kijijini anafaidikaje na hizi ndege?

1. Kupitia makusanyo yanayopatikana, Serikali inapata uwezo wa kuwahudumia Wananchi wake wakiwemo waliopo vijijini kwa kuwapeleka huduma za kiafya, nishati ya umeme, maji pembejeo za kilimo, ujenzi wa barabara, madaraja na vivuko n.k.

2. Wale wanaoajiriwa kwenye ndege husaidia kutoa huduma kwa familia zao, ukoo na Wategemezi wao wakiwemo waliopo vijijini.

3. Husaidia uokozi wa muda wa usafirishaji wa Watu na mizigo yakiwemo mazao ya Wakulima na hivyo kuimarisho mapato binafsi ya Watu (wakiwemo wa Vijijini) na Taifa.

Watanzania tunaelewa ndege zina faida kwa kila Mtanzania; Watanzania tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa Serikali katika ununuaji wa ndege na ufufuaji wa shirika la ndege la ATCL.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania,Ahsante kwa kumbariki Rais wetu John Magufuli,tupe neema ya kuzitumia vyema baraka hizo na kuziendeleza ili Tanzania iwe Taifa kubwa sawa sawa na Mapenzi yako.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Kumbe Biashara ya ndege inalipa ikiwa na usimamizi uziri kama wa ATCL....Kumbe Air France air India KQ wamefunga kwasababu ya ubabaishaji katika uendeshaji ebu waje waombe wataalamu wa ATCLuwasaidia ili waweze kufufua makampuni yao, nakuupata faida haraka haraka
 
Nimesoma weeeeeee naona kama mwandishi anarudia rudia, imenichosha sana.

Any way . Kwa takwimu zilizopo faida ya kasi namna hiyo haip duniani.

mashirika mengi ya ndege yana madeni makubwa sana kiasi cha kutishiwa kufirisika.

Lakini Muda ni shaidi mzuri sana.

Mlisema uchumi unakua kwa 7%+ lakini sasa ni wastani wa 4%-

Muda ni rafiki mzuri maana huwa hadanganyi.
 
Hapa mkuu umeelezea vizuri.. Unakuta mtu kasoma had chuo lakini bado anauliza "Ndege inafaida gan kwangu/kijiji?!..kwakweli kila nikisikiaga hivo bado huwa najisemea 1.elimu 2.elimu 3.elimu....
Watanzania wengi uwezo wa kupambanua mambo bado!!....
Big up kwa nchi hii, na mh. Hapa kazi tu...
 
Mpumbavu katika upumbavu wake ndo anaweza kuamnini huu upumbavu
Mtu akikwambia kitu cha kijinga kabisa-kabisa akijua kwamba unajua ni cha kijinga na wewe ukakubali, atakudharau sana _ Mwl. JKN
 
Sisi Chadema tutaiweka wapi sura yetu kwa haya mafanikio ya ATCL. Upotoshaji wetu unaelekea kufika ukingoni.
 
Acha kupoteza mda kuandika kitabu kizima. Ukiandika kwa ufupi unafanya watu wengi wasome na waelewe unachoandika. Hii riwaya ya kusifu na kuabudu nani atasoma
 
Kama hata hujui jukwaa husika la kupost utawezaje kujua uendeshaji wa ATCL uje utudanganye hapa kuwa tayari imeshaanza kugenerate profit kiasi hicho cha kuweza kununua ndege nyingine
 
Nimesoma weeeeeee naona kama mwandishi anarudia rudia, imenichosha sana.

Any way . Kwa takwimu zilizopo faida ya kasi namna hiyo haip duniani.

mashirika mengi ya ndege yana madeni makubwa sana kiasi cha kutishiwa kufirisika.

Lakini Muda ni shaidi mzuri sana.

Mlisema uchumi unakua kwa 7%+ lakini sasa ni wastani wa 4%-

Muda ni rafiki mzuri maana huwa hadanganyi.

Eti Airbus mbili zinahitajika kwa abiria wa route ya Mbeya🤣🤣🤣
 
Ahsante sana kwa kuweka namba yako ya simu. Kuna nafasi moja ya ukurugenzi itakua wazi mda si mrefu. Tutakutafuta.
 
NDEGE TATU ZANUNULIWA KWA FAIDA ILIYOTOKANA NA NDEGE NANE ZILIZOPO.

Leo 13:15pm,16/10/2019.

Atcl sasa itamiliki ndege kumi na moja baada ya kununuliwa kwa ndege nyingine tatu kutokana na faida iliyopatikana kwenye biashara ya ndege nane zilizopo.

-Hitaji la Wasafiri lazidi usafiri wa ndege chache zilizopo.

Miezi sita iloyopita soko la Mbeya lilizidi usafiri uliopo,Abiria walikata ticket mwezi mmoja kabla na ndege ilijaa wiki mbili kabla ya Safari,hii ilipiga kengele kuwa ndege moja haitoshi kwa soko la Mbeya,hivyo zikaongezwa Airbus mbili ili kukidhi mahitaji ya soko la Mbeya tu.

Soko la nje nalo lilizidi usafiri wa ndege zilizopo,Airbus zilizotakiwa kwenda Comoro,Mauritania,Shelisheli,Burundi via Kigoma zikashikwa na soko la Mbeya,hii ikaleta tena ishara ya kuongeza ndege nyingine at least ziwe 30 ndipo zitakidhi hitaji la usafiri wa Anga kwa wateja wa Atcl.

Safari ya Mumbai,Guangzhou na Gatwick itahitaji uwepo wa ndege kubwa kama Boeing zaidi ya 6 ili kuondoa ile dhana ya Atcl kukatisha safari na kufaulisha kitu ambacho kiliwakwaza abiria na kukosa imani na shirila la ndege la Atcl na kulipa majina mbalimbali.

Ndege nane zilizopo ambazo zinatoa huduma katika sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi zimenunuliwa na Serikali ya awamu ya tano ambazo na kwa kiasi kikubwa zimesaidia kulirejesha shirika la ndege la Tanzania (Atcl) katika usafiri wa anga.

Shukrani kwa Wafanyakazi na uongozi katika kutoa ushauri na kupokea ushauri na kukubali majadiliano,

Katika baraza la Wafanyakazi kama chombo cha Mawasiliano ya kazi katika kuzungumzia mpango kazi na uchumi wa Atcl kwa kutathmini juu ya ufanisi na tija ili malengo ya kufanya Atcl kuwa taasisi kubwa kuweza kutumia.

-Mpango wa muda mfupi wa mwaka mmoja mmoja.

Atcl imefanikiwa kupunguza hasara ya bilioni 17 kutokana na kufanyia kazi baadhi ya maeneo ambayo yalikuwa ni changamoto ikiwemo ufutaji wa safari.

-Mpango wa muda mfupi umefanikiwa kuondokana na ufutwaji wa safari uliokuwa ukisababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo upungufu wa ndege na ukosefu wa abiria.

Atcl ilikuwa ikipata hasara ya bilioni 17 kutokana na kufuta safari lakini sasa hawafuti tena safari maana zipo ndege za kutosha na zitaendelea kununuliwa.

-Uthibiti wa Mapato

Kumekuwepo na udhibiti wa mapato kupitia mpango mkakati wa muda mrefu ambao ni wa miaka mitano mitano.

Mpango mkakati wa kutengeneza faida na kutoa huduma bora zenye uhakika kwa wateja kumetoa picha na tathmini ikiwa ni pamoja na kuangalia mambo ambayo ni hatari yatayoleta hasara na jinsi ya kukabiliana nayo.

-Boeing kutawala Soko la nje.

Nampongeza sana Mh Rais John Magufuli kwa ununuzi wa ndege kumi na moja ikiwemo Boeing tatu, Pia nalipongeza sana shirika la Ndege la Tanzania, ATCL kwa kulirusha hili lidude (Boeing) routes za nje za Mumbai,Guangzhou,Gatwick, na Marekani,kwa sababu kufuatia ujio wa Dreamliner, sasa kuna mashirika ya ndege yatapumulia mashine, na sio tuu itasitisha huduma zake Tanzania na kufungasha rasmi, bali yatakufa rasmi kwasababu roho ya mashirika hayo, ni biashara ya Tanzania.

Kufuatia Dreamliner ya ATCL kuruka Mumbai na Afrika ya Kusini,ndege za mashirika mengine zimekosa abiria, hivyo sasa mashirika hayo yamekubali matokeo na kunyanyua mikono yao juu.

-Airbus na Bombardier zatawala soko la ndani nchini Tanzania.

Kufuatia ujio wa Airbus na Bomberdier za ATCL kuruka Mwanza na Kilimanjaro, Fast Jet na Precision zimekosa abiria wa Mwanza na Kilimanjaro, hivyo sasa Fast Jet kakubali matokeo na kunyanyua mikono yake juu,Precision nae ameendelea ku survive, kusarender routes za Mbeya na Kilimanjaro kwa Airbus za ATCL, Sasa Atcl inatawala routes nyingi za mikoa mingi ambayo haina ndege kama Singida, Shinyanga, Songea,Kigoma Iringa,Musoma,Zanzibar,Shelisheli,Mauritania,Burundi na Comoro.

-Uwepo wa Rada zetu kupunguza nauli kwa Usafiri wa Anga nchini.

Nampongeza tena Mh Rais John Magufuli kwa kuleta mapinduzi ya usafiri wa anga hapa nchini kwa miaka zaidi ya 20 hatukuweza kumiliki ndege wala Rada,hivyo kuleta hasara kubwa kwa shirika la ndege la Tanzania pale ilipokodisha ndege na kulipia matumizi ya Rada za Kenya ambapo takribani zaidi ya Milioni mia nne zilikuwa zikipotea kwa mwezi.

Umiliki wa ndege zetu na Rada zetu kuleta "nafuu" yani nauli ambazo mtanzania wa kipato cha kati na hata cha kawaida kuweza kumudu, Hii itapelekea watanzania wengi kuona suala la kupanda ndege ni la kawaida, tofauti na zamani ilikuwa mtu kupanda ndege lazima uwe vizuri kweli kweli baada ya kuiba Mali ya Umma.

Naamini hivi sasa atcl haiwezi kufa kirahisi sababu ana international routes zaidi ya tano,Tunaiombea mema atcl ili sisi watumiaji tuweze kunufaika. Atcl sasa ina huduma bora na za kipekee,Sasa atcl inavuna wateja wengi zaidi. Siungi mkono hoja ya Atcl kuwa peke yao katiks soko, italeta shida sana kama ilivyo kwa usafiri wa majini hivi sasa.

-Ndege 11 za Atcl zarudisha heshima ya Tanzania.

Sasa ATCL sio tuu itatawala soko, bali sasa imerudisha heshima ya nchi, imerudisha heshima ya Taifa, na huu utaratibu wa kuwafungasha virago mashirika mengine ya ndege uendelee kwa routes za Afrika Mashariki, tuje routes za Ghuba, India na China, kisha tufunge kazi New York na Gatwick pale London,Uingereza.

ilikua ni aibu kwa nchi yetu kutokua na ndege za shirika lake la ndege, ukizingatia kila uchwao idadi ya watalii toka kona mbalimbali za dunia inaongezeka na wala sitaki tujilinganishe kwa kusema hata Rwanda walitushinda.Ilifika mahali watalii walikua wanapitia via Kenya Airways,Nairobi- Kenya kisha wanakuja Tanzania ili kukwepa gharama kubwa za safari na usumbufu wa ku connect flights (ingawa sina hakika kama hili limeisha) na hili Kenya walilichukua kama nafasi kwao hata wakaziandika ndege zao Mlima Kilimanjaro na Serengeti ili kupata watalii wanaotaka kutembelea Mbuga ya Serengeti na kupanda Mlima Kilimanjaro.

-Tumechoka kukodisha ndege za Afrika kusini na faida yote kwenda kwao.

Kuna wakati tulikodisha ndege za Afrika ya Kusini tukaishia kupata hasara kwa kuwa hata ticket namba walibadili yetu na kuweka ya kwao na hata rubani na Wafanyakazi wa ndege walitokea Afrika ya kusini,kwa hiyo tulitoa ajira kwa Wenzetu wa Afrika ya kusini.

Tumewahi kukodishiwa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 150 kuweza kutua Amsterdam na Gatwick lakini kumbe masharti ya mkataba yalisema tunatakiwa kubeba abiria 29 tu,kwa kweli tulionewa sana kwa ndege za kukodi,tuliwahi pia kukodi ndege lakini ilikuwa ikifanyia kazi Liberia na mara ilionekana Guinea ikibadilishwa rangi,kwa haya yote imetosha sasa Jemedari wetu Rais John Magufuli kaamua kununua ndege kwa Cash Money baada ya kuonewa kwa muda mrefu ilihali nchi yetu ni tajiri.

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa ikifanywa ni shamba la bibi, kwa kila mtu kutoka anakotoka na kuja kujichumia na kujivunia kama vile Tanzania haina wenyewe, mfano tu Fastjet ni shirika la kigeni, then faida yote inapelekwa huko nje kwa wenye hisa,

Uwepo wa ndege kumi na moja sasa ATCL inaonyesha, kwenye usafiri wa anga kwamba Tanzania ina wenyewe. Hivyo hata Fast Jet,na Precision wakifungasha virago abiria bado wataendelea kupanda Boeing,Airbus na Bomberdier za ATCL.

Taifa litaendelea kupata mapato na kutoa ajira kwa Watanzani, na kwa vile ATCL bado inaleta ndege nyingine hata kufikia 30 itaweza kuwameza wafanyakazi wote wa Fast Jet na Precision na kutoa ajira zaidi kwa uwepo wa ndege 30 za Atcl.

Ndege zina faida gani kwa Mtanzania?

1. Ndege inaokoa muda; Safari ya basi, meli ama treni ambayo ungetumia siku nzima ama siku mbili kwa ndege unatumia dakika kadhaa kufika. Ndege inaokoa rasilimali muda kwa kusafirisha Watu na mizigo.

2. Ndege inatoa fursa za ajira; kupitia usafiri wa ndege inatoa fursa za ajira kwa wahudumu wa ndege, manahodha, wabeba mizigo, waongoza ndege, wakata tiketi, mafundi nk. Hivyo kupitia ndege inapunguza tatizo la ajira nchini kwa kuimarisha mapato binafsi ya Watu na kusaidia kuendesha familia zao na wategemezi wao.

3. Kufufuka kwa shirika la ndege; hakuna asiyejua shirika letu la ndege la ATCL lilikuwa kwenye hali mbaya, ununuaji wa ndege mpya unaleta uhai na ufufuo wa shirika la ndege linaloleta ushindani na uboreshwaji wa huduma za ndege nchini, inaleta heshima mpya kwa shirika kitaifa na kimataifa.

4. Inaongeza mapato ya nchi; kupitia makusanyo ya mauzo ya tiketi, kodi inayokatwa kwenye tiketi Serikali inaongeza kiasi cha makusanyo ya ndani ya nchi. Makusanyo hayo ndio huelekezwa kwenye huduma za kijamii, ujenzi wa miundo mbinu, kutoa elimu bure, kutoa huduma za kiafya n.k

5. Inasaidia shughuli za kibiashara; ndege inasaidia kusafirisha Watu na mizigo kwa Wafanyabiashara kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa haraka zaidi. Shughuli za kibiashara zinaporahisika zinasaidia mapato na uchumi wa nchi kuongezeka na kuimarika zaidi.

Mtu aliyepo kijijini anafaidikaje na hizi ndege?

1. Kupitia makusanyo yanayopatikana, Serikali inapata uwezo wa kuwahudumia Wananchi wake wakiwemo waliopo vijijini kwa kuwapeleka huduma za kiafya, nishati ya umeme, maji pembejeo za kilimo, ujenzi wa barabara, madaraja na vivuko n.k.

2. Wale wanaoajiriwa kwenye ndege husaidia kutoa huduma kwa familia zao, ukoo na Wategemezi wao wakiwemo waliopo vijijini.

3. Husaidia uokozi wa muda wa usafirishaji wa Watu na mizigo yakiwemo mazao ya Wakulima na hivyo kuimarisho mapato binafsi ya Watu (wakiwemo wa Vijijini) na Taifa.

Watanzania tunaelewa ndege zina faida kwa kila Mtanzania; Watanzania tunathamini na kutambua mchango mkubwa wa Serikali katika ununuaji wa ndege na ufufuaji wa shirika la ndege la ATCL.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kuibariki Tanzania,Ahsante kwa kumbariki Rais wetu John Magufuli,tupe neema ya kuzitumia vyema baraka hizo na kuziendeleza ili Tanzania iwe Taifa kubwa sawa sawa na Mapenzi yako.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
0755078854.
UNAJUA maana ya faida??
 
Back
Top Bottom