Search results

  1. K

    Natafuta kampuni zinatoa internship Arusha

    Kiswahili kinapoteza ladha kila siku ,na wanaoitwa wasomi ndio wanaoongoza kukiharibu
  2. K

    Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

    Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
  3. K

    Matarajio ya Rais Samia kwenye Utalii ni makubwa, tumsaidie ku-brand utalii kama bidhaa

    Kila nikimtazama Rais wetu, naona matarajio aliyonayo katika kukuza utalii wetu kimataifa ni makubwa mno. Ili kutimiza matarajio hayo, anatumia mikakati mbalimbali hususani kushiriki katika uigizaji wa filamu za kukuza utalii. Naona Rais akitamani utalii usaidie kuongoza fedha za kigeni nchini...
  4. K

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Kuna mtu huwa anaendesha gari lako ukiwa haupo, anza kumuuliza yeye kwanza
  5. K

    Nyerere day 13-4- na siyo 14-10-? Je, ikumbuke siku ya kufa au kuzaliwa?

    14/10 tunasheherekea maisha ya Mwalimu aliyoishi hapa duniani na ukisema uisheherekee siku ya kuzaliwa unakosea sana ,siku ya kuzaliwa ni kumbukumbu ya walio hai
  6. K

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Nilisema hapa toka zamani, Israel ni chambo ya Mmarekani kumtia adabu muirani ila waarabu wa magomeni hawakuelewa. Nafurahi Sasa Irani inaendea kuwashiwa moto wa petrol maana kazidi kutoa matamshi ya uvunjifu wa amani
  7. K

    Lema aiagiza Chadema impe Kadi ya Uanachama Rais Samia

    Makonda hawezi kutamka vile bila ushahidi wa kutosha. Naamini alipokuwa Mwenezi kakutana na mambo mengi ya kuogopesha.
  8. K

    Lema aiagiza Chadema impe Kadi ya Uanachama Rais Samia

    Nayaona mabadiliko makubwa ya Baraza la mawaziri kabla ya mwezi wa Tano.
  9. K

    CPA Anthony Mzee Kasore Ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu VETA

    Kwani Rais akitaka kwenda Zanzibar kutokea Arusha anatembea kwa miguu mpaka ushangae kuwepo Zanzibar?
  10. K

    Paul Makonda amepata kibali Cha Mungu, Viongozi wa Dini wamempa Kibali

    Sio Kila kiongozi wa dini ana kubali kutoka Kwa Mungu ,hivyo Makonda kuwa na backup ya viongozi wa dini haimaanishi amepata kibali kutoka Kwa Mungu
  11. K

    Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

    Hapa umemjibu vema huyu mburula na vimaswali vyake vya kitoto na hapo anajiona bonge la genius ,kumbe wenye akili wanaona tatizo la afya ya akili linamnyemelea anatakiwa kuwahi matibabu
  12. K

    Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

    Ya Sokoine ni makubwa kuliko uwezo wako wa kuelewa ,wewe endelea tu na ya kina Lissu na Zitto. Unafanya ukuwadi bila kujitambua
  13. K

    Naomba Kufahamishwa. Hivi Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Sokoine hufanyika kila mwaka au? Mbona kama limepewa uzito sana mwaka huu?

    Taifa zima linasheherekea maisha yake ya uongozi lakini wewe keyboard warrior unapinga bila sababu, huoni kama unatakiwa kuwahi kupata matibabu ya Afya ya akili ?
  14. K

    Nani Sokoine wa kizazi hiki?

    Kuna Sheria imevunjwa ?
Back
Top Bottom