KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

paqwa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,693
2,259
Habari wadau,

Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.

Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu ndani ya fence na matairi yote ma4 yalikuwa flat. Kwakuwa hakuna mwingine mwenye funguo, na wala hapakuwa na uwezekano wa kutembea nina hakika halijatoka.

Cha kushangaza nimeingia kwenye website ya TARURA parking online nakuta madeni tena kipindi gari halitembei. Ajabu.

Sasa nimerudi, na bado silitumii, wiki hii yote nakuta tena madeni , tena ya sehemu ata sijawahi kufika. Huu ni wizi wa wazi wazi. Sasa mwenye kufahamu wapi pakwenda kulalamika naomba ushauri. Huu mchezo sidhani kama ni mimi pekee yangu. Waziri husika na mamlaka. Hii sio sawa na sitakubali.
 
Habari wadau, kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA , na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.
Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu ndani ya fence na matairi yote ma4 yalikuwa flat. Kwakuwa hakuna mwingine mwenye funguo, na wala hapakuwa na uwezekano wa kutembea nina hakika halijatoka.
Cha kushangaza nimeingia kwenye website ya TARURA parking online nakuta madeni tena kipindi gari halitembei. Ajabu.
Sasa nimerudi, na bado silitumii, wiki hii yote nakuta tena madeni , tena ya sehemu ata sijawahi kufika. Huu ni wizi wa wazi wazi. Sasa mwenye kufahamu wapi pakwenda kulalamika naomba ushauri. Huu mchezo sidhani kama ni mimi pekee yangu. Waziri husika na mamlaka. Hii sio sawa na sitakubali.
Hawasimamii TARURA, wqpigie simu TAMISEMI ila nao ni wababishaji tu.

Yaani kama vile utapeli unafanywa na wahusika sababu wakija kuangalia namba ya gari iliyoko kwenye picha ni tofauti na iliyoandikiwa fee..

Nimeshawachoka hao TAMISEMI na huo mfumo wao umekuwa wa kitapeli.
 
Namjuaje au na solve vipi hili suala? Ni uhuni. Navokwambia gari lilipo na wanapopost ni ajabu. Na halitembei mpaka dakika hii🤷🏿‍♂️
Ni huyo mtu wa parking,

Wanahama sana vituo, siku akiwa hajafikisha hesabu, anapost magari za zamani YALIYO kwenye saver yake.

Hapo ni uende ofisi za tarura ukareport,

Waondoe hizo control namba, ukilipa ,hutorudishiwa tena. Fuatilia.
 
Habari wadau,

Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.

Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu ndani ya fence na matairi yote ma4 yalikuwa flat. Kwakuwa hakuna mwingine mwenye funguo, na wala hapakuwa na uwezekano wa kutembea nina hakika halijatoka.

Cha kushangaza nimeingia kwenye website ya TARURA parking online nakuta madeni tena kipindi gari halitembei. Ajabu.

Sasa nimerudi, na bado silitumii, wiki hii yote nakuta tena madeni , tena ya sehemu ata sijawahi kufika. Huu ni wizi wa wazi wazi. Sasa mwenye kufahamu wapi pakwenda kulalamika naomba ushauri. Huu mchezo sidhani kama ni mimi pekee yangu. Waziri husika na mamlaka. Hii sio sawa na sitakubali.

Huu mchezo wanaufanya hata Traffic wa barabarani.
Yaani iko hivi gari yako yawezekana iliandikiwa parking huko nyuma sasa control number bado inasoma kwahiyo watu wa parking wakiona hesabu walopewa kwa siku haijafikiwa wanaingia kwenye mfumo wanachukua hizo control number na kuziandikia parkin fee tena.
Traffic barabarani wanafanya sana hii tabia hasa kwenye magari makubwa ya mizigo. Gari ya mizigo inaweza kupita hivi traffic akaingia kwenye mfumo Kama atakuta gari hilo linakosa limeshaandikiwa basi traffic huyo Kama hesabu zake hazijatimia basi anaandikia kosa lingine bila hata kulisimamisha gari. Baadae ukiangalia kwenye mfumo unakuta umeandikiwa makosa mengi huku wewe ukijua umeandikiwa kosa moja tu. Yaan nchi hii kuna vyombo vipo kwaajili ya kuwaonea wenzao ni uonevu wa kijinga sana.
 
Kuna mtu huwa anaendesha gari lako ukiwa haupo, anza kumuuliza yeye kwanza
Ungekuwa umesoma kwa makini ungenielewa. Gari lenye shida linaendeshwa vipi? Kwanza funguo ninao mwenyewe. Gate nafunga pia. Yani wiki hii lipo hapohapo na mimi nipo imebambikwa. Hilo suala la mtu kulitumia halipo.
 
Namjuaje au na solve vipi hili suala? Ni uhuni. Navokwambia gari lilipo na wanapopost ni ajabu. Na halitembei mpaka dakika hii🤷🏿‍♂️
Lipa deni. Maadhimisho ya miaka 10 ya Avoid Jumbay yanataka pesa
 
Ni huyo mtu wa parking,

Wanahama sana vituo, siku akiwa hajafikisha hesabu, anapost magari za zamani YALIYO kwenye saver yake.

Hapo ni uende ofisi za tarura ukareport,

Waondoe hizo control namba, ukilipa ,hutorudishiwa tena. Fuatilia.
Yani ningemjua. It seems ni mtu mmoja tu.
 
Back
Top Bottom