Search results

  1. Mgimilamaganga

    Kalenda ya Masomo 2023 inatia ukakasi

    Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika; Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye tarehe za likizo na mpangilio mzima wa vipindi. Ikumbukwe kuwa kalenda hii imetolewa kama mbadala wa...
  2. Mgimilamaganga

    Mahusiano na binti wa Kikaguru

    Habari za Jumapili wana Jamvi, Bila kupoteza muda, ngoja nielekee kwenye mada husika: Katika pita pita zangu mjini Morogoro nikakutana na binti wa Kikaguru kutoka huko pande za Gairo.Ni mwenye kauli nzuri na aibu za hapa na pale. Kijana nikaamua nitupe ndoano kwa mara ya kwanza tangu niingie...
  3. Mgimilamaganga

    App ya JF ina-crash tu tangu jana

    Habari za muda huu wanajukwaa,tangu jana najaribu kufungua app ya jf lakini naambiwa ipo down.Shida nini?
  4. Mgimilamaganga

    Naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani?

    Habari za muda huu wadau,naomba kusaidiwa kutambua hili ni jiwe gani? Nimekutana nalo nikichimba kisima.
  5. Mgimilamaganga

    Astahahada ya Ualimu Elimu ya Msingi (English medium)

    Habari, Kwa wale walimu,naomba kufahamishwa kidogo juu ya hii Astahahada ambayo nimeona inatolewa pale Dakawa TTC. Je,walimu watakaosoma hiyo kozi hawataruhusiwa kufundisha shule za Serikali zisizotumia lugha ya Kiingereza? Na,je,kuna shule zozote za Serikali zinazofundisha kwa kutumia lugha...
  6. Mgimilamaganga

    Android 9 pie Go Edition ndani ya NOKIA 1

    Kwa wale wenzangu na mimi,wazee wa Budget Smartphones hasa tunaotumia Nokia. Tukae mkao wa kula,ndani ya hizi siku mbili visimu vyetu vitapata Update ya Android 9 Pie Go Edition.Tunaachana na 8.1.0 Go Edition. Tuwashukuru NOKIA kwa kutukumbuka.
  7. Mgimilamaganga

    CCM mmeigeuza Iringa mali yenu?Roundabouts zote mmeweka bendera zenu

    Habari za muda huu wana JF. Leo jioni nimeingia Iringa nikitokea zangu Katavi,kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu CCM. Yaani mgeni unapoingia Iringa mjini roundabout ya kwanza tu unakutana na takataka za bendera za CCM zikiwa zimeizunguka,ukishamaliza mzunguko tu,nguzo nyingi za taa za...
  8. Mgimilamaganga

    Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

    Habari za muda huu wana JF, Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza. Hivyo nitapumzika hapo mjini angalau kwa usiku mmoja kwa ajili ya kutalii kidogo kisha nitaendelea...
  9. Mgimilamaganga

    CMA(Commission for Mediation and Arbitration) wanasema ni sharti niwe na mwanasheria ndipo wanisikilize

    Habari za muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada.Juzi hapa niliweka uzi unaohusu kumaliza mkataba wa kazi na niliomba kujua haki zangu. Kuna mdau alinishauri niende CMA,Leo hii nikaamua kwenda lakini majibu niliyopata ni kwamba lazima niwe na Mwanasheria ndipo watalishughulikia hilo...
  10. Mgimilamaganga

    Nimemaliza mkataba kazini,je,haki zangu ni zipi?

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.Nilikuwa nafanya kazi ya Security kwenye kampuni moja hapa jijini Dar Es Salaam.Sasa jana ndio nimefikia mwisho wa mkataba wangu wa mwaka mmoja,na kwa taarifa nilizopewa ni kuwa mkataba hautahuishwa kwani kampuni imepungukiwa na...
  11. Mgimilamaganga

    Msaada wa namna ya kuandaa barua ya maombi ya kazi kwenda Tanzania Ports Authority

    Habari za muda huu wana JF. Bila kupoteza muda,naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Naomba kufahamishwa juu ya utaratibu mzima wa kutuma maombi ya kazi kwenye mashirika ya umma hasa hili la TPA ambao wametangaza nafasi kadhaa za kazi. Mimi nimeona naimudu kazi ya Security kwani...
  12. Mgimilamaganga

    Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

    Habari za asubuhi ndugu zanguni. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali katika sehemu tofauti. Matatizo hayo ni pamoja na:- 1)kufunga choo-licha ya kwamba...
Back
Top Bottom