Beberu Mwitu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2019
- 495
- 708
Habari,
Kwa wale walimu,naomba kufahamishwa kidogo juu ya hii Astahahada ambayo nimeona inatolewa pale Dakawa TTC.
Je,walimu watakaosoma hiyo kozi hawataruhusiwa kufundisha shule za Serikali zisizotumia lugha ya Kiingereza?
Na,je,kuna shule zozote za Serikali zinazofundisha kwa kutumia lugha ya Kiingereza pekee?
Nawasilisha