Naomba ushauri na tiba ya tumbo lenye dalili hizi

Status
Not open for further replies.

Mgimilamaganga

JF-Expert Member
Mar 31, 2019
266
257
Habari za asubuhi ndugu zanguni.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali katika sehemu tofauti.

Matatizo hayo ni pamoja na:-

1)kufunga choo-licha ya kwamba nakula matunda,mboga za majani na kunywa maji kwa wingi.

2)kuhisi vitu vinatembea mwilini.

3)Dalili za kuwa na bawasiri

4)Mishipa kuvuta sehemu ya chini ya kitovu.

Na takribani miezi miwili sasa tumbo limeanza kuunguruma upande wa kulia sehemu ya chini na kuna wakati yanafika mpaka kwenye nyonga.

Sasa jamani naomba ushauri juu ya hili pamoja na sehemu ya kupata tiba na makadirio ya gharam zake.

Kwa sasa naishi Dar Es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tatizo linalonisumbua nami kwa muda mrefu sana na korodani zinakuwa na maumivu, kichwa kinauma na macho kutokuona vizuri. Msaada wenu mnao fahamu jamani tunaomba mkuje hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kufunga Choo .....
tafuta ukwaju, loweka au chemsha, kamua utoe mbegu zake, hakikisha unakamua juisi yote ile nzito kabisa kisha kunywa ile juisi yake kila siku angalau mara tatu Kwa kutwa na iwe concentrated haswa ....Choo utakipata laini kabisa bila tatizo.
Au ukwaju juisi mix na tende juisi ( unatoa mbegu kisha unaloweka na unasaga kwenye blender), mix na papai bivu saga changanya vyote vitatu uwe unakunywa smoothie yake daily, tatizo la kukosa Choo utalisikia Kwa Jirani...kisha tuletee mrejesho.

Nitalifanyia kazi hili.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi ndugu zanguni.

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.

Kwa miaka mingi nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali katika sehemu tofauti.

Matatizo hayo ni pamoja na:-

1)kufunga choo-licha ya kwamba nakula matunda,mboga za majani na kunywa maji kwa wingi.

2)kuhisi vitu vinatembea mwilini.

3)Dalili za kuwa na bawasiri

4)Mishipa kuvuta sehemu ya chini ya kitovu.

Na takribani miezi miwili sasa tumbo limeanza kuunguruma upande wa kulia sehemu ya chini na kuna wakati yanafika mpaka kwenye nyonga.

Sasa jamani naomba ushauri juu ya hili pamoja na sehemu ya kupata tiba na makadirio ya gharam zake.

Kwa sasa naishi Dar Es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kabisa hiyo kwako ni ngiri hiyo
 
Kama ni ngiri tafuta shubiri changanya na maji unywe inaweza saidia kipindi nipo o level niliwah kusumbuliwa na ngiri nilitumia shubiri kwakeeli matokeo yake ni mazuri mno ngiri hainisumbui tena huu ni mwaka wa kumi na kitu sasa
Shubiri majani yake au mizizi? na maji yawe ya moto au baridi?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom