Mahusiano na binti wa Kikaguru

Mgimilamaganga

JF-Expert Member
Mar 31, 2019
266
257
Habari za Jumapili wana Jamvi,

Bila kupoteza muda, ngoja nielekee kwenye mada husika:

Katika pita pita zangu mjini Morogoro nikakutana na binti wa Kikaguru kutoka huko pande za Gairo.Ni mwenye kauli nzuri na aibu za hapa na pale.

Kijana nikaamua nitupe ndoano kwa mara ya kwanza tangu niingie Morogoro. Mambo yakaenda kama nilivyotarajia lakini kwa masharti kadhaa mojawapo likiwa kumwambia ndugu yake wa karibu kuwa namhitaji, nikafanya hivyo.

Sasa binti ananiomba niende kwao nikajitambulishe kabisa ili nikabidhiwe rasmi. Binafsi nasita kidogo kwa sababu tangu tufahamiane ni mwezi mmoja na nusu umepita(bado mapema).

Sasa kwa wenye uzoefu na hili kabila, je,ni kawaida yao kuharakisha haya mambo au ni kuwa binti kazama tu penzini?.NB.Sijawahi ku-date na wenyeji wa mkoa huu kwa miaka yote 3 niliyoishi hapa.Binti ana miaka 19 tu.

Ushauri tafadhali.
 
Hao wanawake wa kikaguru ni malaya mno halafu wanapenda ushirikina ni balaa , jipange
 
Back
Top Bottom