Msaada wa namna ya kuandaa barua ya maombi ya kazi kwenda Tanzania Ports Authority

Mgimilamaganga

JF-Expert Member
Mar 31, 2019
266
257
Habari za muda huu wana JF.

Bila kupoteza muda,naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Naomba kufahamishwa juu ya utaratibu mzima wa kutuma maombi ya kazi kwenye mashirika ya umma hasa hili la TPA ambao wametangaza nafasi kadhaa za kazi.

Mimi nimeona naimudu kazi ya Security kwani sifa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili wa kufanya kazi hizo ninao.

Si kwamba naomba kuelezwa namna ya uandishi wa barua bali nahitaji kujua kama ni lazima hizo barua nizipitishe serikali za mtaa kama yafanyavyo mashirika binafsi au niandike tu nakuambatanisha na wasifu wangu.

Msaada wenu ni muhimu sana ndugu zanguni


Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za muda huu wana JF.

Bila kupoteza muda,naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika
Bila shaka kama wametangaza nafasi za kazi watakuwa wameelekeza namna ya kutuma maombi! Kwenye tangazo hawakuweka maombi yaende kwa nani na kwa namna gani?

By the way uwe makini kuna matangazo fake ya kazi huwa wanabandika kwenye vituo vya dala dala na sehemu nyingine na kujifanya ni shirika fulani linahitaji wafanyakazi.

Matangazo fake mengi yanakuambia uwasiliane na fulani halafu utaambiwa utoe fedha. Ikiwezekana piga picha hilo tangazo uliweke hapa ili uweze kusaidiwa kwa uhakika zaidi.
 
Bila shaka kama wametangaza nafasi za kazi watakuwa wameelekeza namna ya kutuma maombi! Kwenye tangazo hawakuweka maombi yaende kwa nani na kwa namna gani? By the way uwe makini kuna matangazo fake ya kazi huwa wanabandika kwenye vituo vya dala dala na sehemu nyingine na kujifanya ni shirika fulani linahitaji wafanyakazi. Matangazo fake mengi yanakuambia uwasiliane na fulani halafu utaambiwa utoe fedha. Ikiwezekana piga picha hilo tangazo uliweke hapa ili uweze kusaidiwa kwa uhakika zaidi.
Nimepata taarifa kupitia sekretarieti ya ajira serikalini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu yangu ina screen ndogo,hivyo nimeweka screenshots mbili ila zinaelezea post moja.Asante
Screenshot_20190417-181818.jpeg
Screenshot_20190417-181828.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshindwa kuapply directly hapo,kwa sababu profile yangu ni incomplete,simu haiwezi ku-upload attachments,na ndio maana nataka nipeleke kwa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda internet cafe ukafanye application .

Lakini yafuatayo ni muhimu kuzingatia

1. Hakikisha vyeti vyako ume certify na kuscan ili uweze kutuma kwenye email yako .

2. Andika barua ya kiofisi unaweza kwenda stationary ukaandika barua then print na kusaini baada ya hapo scan na u upload kwenye email yako .

3. Attachments zote zinazohitajika scan na ku upload kwenye email yako .

4. Hakikisha account yako ya portal ina asimilia zaidi ya 75 .

Baada ya hapo fungua account yako na ufanye application . Good luck ndugu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda internet cafe ukafanye application .

Lakini yafuatayo ni muhimu kuzingatia

1. Hakikisha vyeti vyako ume certify na kuscan ili uweze kutuma kwenye email yako
Asante sana ndugu,akaunti yangu ya portal ipo na 45%,labda nikiweka hizo attachments itapanda kidogo.Kwa hiyo kikubwa ni kukamilisha profile tu pamoja na kuandika hiyo barua.Shukrani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumwa wewe. Umeambiwa soma tangazo ulielewe. Sijui kama utapata kazi kama kichwa chako ndio kizito hivyo. Unaambiwa omba kazi kwenye mfumo ww unakazan sijui upeleke kwa mkono. Haya peleka
Nimeshindwa kuapply directly hapo,kwa sababu profile yangu ni incomplete,simu haiwezi ku-upload attachments,na ndio maana nataka nipeleke kwa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Back
Top Bottom