Android 9 pie Go Edition ndani ya NOKIA 1

Mgimilamaganga

JF-Expert Member
Mar 31, 2019
266
257
Kwa wale wenzangu na mimi,wazee wa Budget Smartphones hasa tunaotumia Nokia.

Tukae mkao wa kula,ndani ya hizi siku mbili visimu vyetu vitapata Update ya Android 9 Pie Go Edition.Tunaachana na 8.1.0 Go Edition.


Tuwashukuru NOKIA kwa kutukumbuka.
 
Back
Top Bottom