Search results

  1. Pantomath

    Wenyeji wa MWANZA Naomba kujuzwa, Machimbo ya Balo za viatu, Nguo za Special & Electronics kwa Jumla.

    Dar, karume ndio Sehemu pekee niliyoizoea kwa ajili ya mzigo wa ku point, au mnazi mmoja kwa baloo.. Agree kwa electronics Congo kwenye nguo, n.k Mwanza sio mwenyeji kabisaa, kuna Goli nataka tufungue kule, lakini umbali wa Dar to Mwanza umekua kikwazo, Kwahio wenyeji ningependa kujuzwa, 1...
  2. Pantomath

    Gamondi: Kuelekea Mamelod, fitness ya Aucho 80%, Pacome anafuatia, Yao kigugumizi.

    Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome. Gamondi alithibitisha kikosi chake kitakuwa na mabadiliko baadhi baada ya viungo wake Aucho na Pacome kuanza...
  3. Pantomath

    Picha: Kwanini Simba/ Chui hawashambulii watalii wakiwa kwenye gari?

    Nimejiuliza Sanaa, nishendaga mbugani mara 2, zote hizo nilikua kwenye closed safari vehicle, Sasa hawa wanaokua kwenye magari ya wazi Nini kinawalindaa.
  4. Pantomath

    Arsenal tukimpiga Bayern, tunakutana na Madrid au City. Hii sio haki

    Hii sio haki, hata kama ni droo prediction Baada ya kutoa kitufe kuona ni hivyo wangefanya hata manuva kama yale yaliyofanyika juzi huku dunia ya tatu... Side A una Atletico Dortumund PSG Barcelona Side B Arsenal Bayern Madrid Man City. Hata kama mpira una dunda, ndio udunde kwetu...
  5. Pantomath

    Paul Mushi afikishwa mahakamani kwa utapeli wa viwanja

    Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni. Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za...
  6. Pantomath

    Kumbe kuna salamu maalumu ukikutana na mtu usiku mzito? Usiku wa leo mbio ndiyo zimeniokoa

    Kuna knowledge ndogo sana ila ni za muhimu sana, Usiku wa leo Mida ya saa nane hivi nilikua napita kwenye chocho fulani hivi, Ilikua ni njia ndefu iliyonyooka, upande wa Juu/ kulia ni ukuta mrefuu, chini/ kushoto ni mfereji wenye vichaka chaka. Kuanzia mwanzo wa ukuta mpaka mwisho ni kama 500M...
  7. Pantomath

    Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

    ALIYEVAMIA KIWANJA CHA MTU AVUNJIWA GHOROFA Waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Slaa leo amesimamia zoezi la Uvunjwaji wa Nyumba ya Johnson Mahululu ambaye anatuhumiwa kujenga nyumba katika eneo ambalo halimiliki kihalali . Waziri wa Ardhi amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa eneo...
  8. Pantomath

    Ushawahi kutana na mtu mnafahamiana, Ukajifanya Sio wewe(hamjuani)?

    Juzi Nipo k.koo, nimebeba loba langu la mzigo wa kwenye kaofisi kangu, nikiwa napeleka sehemu flani hivi kwa ajili ya kufungasha nirudi, nikiwa napita maeneo ya Uhuru road kama unatokea china plaza, maeneo yale wanajaza ma fridge nje. Ghafla Bin Vuu mbele kulee naona Pisi Flani nilikua nayo...
  9. Pantomath

    Utaratibu wa kwenda kusalimia mfungwa upoje? Na je wanaruhusiwa kushika simu?

    Mods naomba Huu uzi msiupeleke jukwa la sheria, hautaonekana kirahisi. Naomba kujua kesi iliyokwisha amriwa mtu akatiwa ndani, ukipatikana ushahidi USIO na shaka wa kumtetea mfungwa, je inawezekana kutolewa? Kama ndio taratibu zipojee? Lakini jee Utaratibu wa kwenda kumsalimia mfungwa upojee...
  10. Pantomath

    Naombeni Idea yoyote ya Kisayansi ya kutatua changamoto flani katika Jamii.

    Ni hivi, kuna kitu inaitwa YOUNG SCIENTISTS TANZANIA, hii ni maalum kwa Wanafunzi sekondari, wanabuni wazo/tatizo ambalo ni common katika Mazingira yetu ya kitanzania, Mfano labda kuna tatizo la Maji ya Chumvi, Jee utatumia njia Gani kutatua hilo tatizo?, labda una idea ya kuyatibu, Wazo lako...
  11. Pantomath

    Kueni Makini Sana na hawa wafanyakazi mnaoletewa na Madalali

    Mtu humjui, Dalali, Humjui, mfanyakazi, Hujui dalali anatoka/ishi wapi? Hujui mfanyakazi anatokea wapi? Hujui mfanyakazi kwao ni wapi? Hujui hata ndugu mmoja wa dalali au Mfanyakazi. Kirahisi tuu kisa upo bussy, unaletewa mfanyakazi wa online, Unamuachia Mwanao mchanga peke yake..???? Hii sio...
  12. Pantomath

    China yanyonga Wapenzi walioua watoto ili Wasiwasumbue

    Mahakama nchini china imewanyonga wapenzi wawili Zhang Bo na girlfriend wake Ye Chengchen, Kwa kuwaua kwa kuwatupa Watoto wawili (wakike Zhang Ruixue, 2, aliefia papo hapo, na wakiume Zhang Yangrui, 1 aliyefia hospital) kutoka gorofa ya 14 ya apartment waliyokua wanaishi... Tukio hilo lilitokea...
  13. Pantomath

    Picha, niambie Shule gani Tanzania ina mazingira Bora kuzidi haya?

    St. Mary's Mazinde Juu lushoto Tanga Kuhusu Matokeo yao ya mwisho kwa ufupi Form Four Form Six
  14. Pantomath

    Kijana kuamini huwezi toboa bila uchawi, umaskini wako unaanzia hapo

    Ni mambo ya Ajabu kijana tunayeamini umeelimika bado mpaka leo unawaza pesa za majini. Unawaza bila kwenda kwa mganga Bishara yako haitakaa, Unaamini bila kutoa kafara hutapata pesa.. Unawaza bila kuwekewa zindiko hutodumu... Ukiumuuliza ana ushahidi flani, atakuambia oo sijui tajiri flani ana...
  15. Pantomath

    Wataalamu wa Mikopo, Uchumi, Hesabu naomba Mnieleweshe hapa

    Ukikopa Bank 20M kwa riba 16% kwa muda wa miaka 9(miezi 108) unalipa 37,854,541.16, kwa ufupi ni kama M38 hivi,(KAUSHA DAMU P2) Hii ni kutokana na kikokotoo cha loan calculator, Sasa nataka nijue hii kimahesabu inakujaje? Maana wao automatic tuu wanakuletea hivyo. Hata ukijaribu ile hesabu...
  16. Pantomath

    Mtoto wa miezi 10 hawezi kutambaa, je ni sawa?

    Naomba kujuzwa hili, nijuavyo kuna watoto wakiwa na miezi 7 huanza kutambaa kwa shida. Huyu ninayemzungumzia anatimiza miezi kumi sasa, bado hajaanza kutambaa zaidi ya ku roll/zunguka na kuamka kukaa, kujistretch kama kitu kipo mbali na mateke. Vitu vingine yupo full active, naomba kujua...
  17. Pantomath

    Bodaboda acheni kujichomeka katikati ya haya Malori makubwa ni kifo nje nje

    Nilikua na route flani ya haraka basi ikabidi nikodi boda, Kama kawaida yao kuchomekea na kujipenyeza, kufika mataa akaingia kati kati ya Semi trela kubwa mbili, moja imekula kilemba cha mbao Mpaka pomoni. Nyingine ina Tank la mafuta, na kiboda chetu tupo kati kati, Achilia mbali tuu na hili...
  18. Pantomath

    Mafundi mtatutafutia kesi kwa Utapeli wenu, nimemfungia mtoto wa fundi ndani

    Mtu umempa kazi miliyopatana inaisha ndani ya siku 3, ukampa Advance, baada ya hapo amepotea, ofisi hafungui, ni misele na viwanja jioni. Nikapitia kwake kumuulizia sikumkuta, Jioni anarudi anaambiwa mtu flani alikuja kukuulizia. Anatuma katoto, eti na baba kazi mlipeana ofisini, tusifuatane...
  19. Pantomath

    Naomba kuelimishwa kuhusu UTT-AMIS na Fixed Accounts

    Kuna pesa kidogo nataka niiwekeze ili isikae tuu kwa kipindi ambacho napambana kufikisha amount flani ambayo itahitajika kufanya business flani lakini pia nikiwa nimebanwa na kazi. Binafsi hakuna kitu tofauti nilikua najua zaidi ya fixed acc za banks, japo nazo ni kwa kusikia tuu ila sijui...
  20. Pantomath

    EPL Msimu huu Red Card zimekua kama njugu

    Leo hii tu ndani ya mechi 6, 4 watu wamekula umeme .. Ngoja tusubiri London dk ngapi zijazo kama kutakua salama.
Back
Top Bottom