Utaratibu wa kwenda kusalimia mfungwa upoje? Na je wanaruhusiwa kushika simu?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Mods naomba Huu uzi msiupeleke jukwa la sheria, hautaonekana kirahisi.

Naomba kujua kesi iliyokwisha amriwa mtu akatiwa ndani, ukipatikana ushahidi USIO na shaka wa kumtetea mfungwa, je inawezekana kutolewa? Kama ndio taratibu zipojee?

Lakini jee Utaratibu wa kwenda kumsalimia mfungwa upojee?

Lakini pia unaruhusiwa kumpa simu asalimi familia na marafiki(HATA KAMA NI CHINI YA UANGALIZI/ANASIKILIZWA ANACHOONGEA SIO SHIDA)

Kuna Mwamba Naona kabisa Naweza kumuokoa,
Mimi nipo mbalii na alipo, nataka nitume mtu aende akasalimie, kupitia yeye mkishanithibitishia inawezekana niongee naye kwenye simu..

Kuna Sentence FUPI tuu ya kumuambia nimuokoe,
Na njia Pekee na SALAMA ni ONE to ONE Conversion, utaratibu ufuatwe Mwana arudi mtaani kulea familia yake inayomtegemea, ni KIHALALI sio janja wala forgering.

NOTE: kama utanisaidia hili kwa gharama KUBWA,
Asante kushiriki.
Sifaidiki kwa chochote zaidi ya kutamani tuu haki yake ipatikane,na hata yeye Mwenyewe hatarajii, atakua surprised sana.
 
Unaenda Jela Husika,Kuna Visiting Day,utakapoonqna Naye utamwqmbia ,akikubali Anakata Rufaa Kesi Inangurumishwa Tena ,kama unavyosema Bhasi Mwamba Atachomoka.
 
Back
Top Bottom