China yanyonga Wapenzi walioua watoto ili Wasiwasumbue

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Mahakama nchini china imewanyonga wapenzi wawili Zhang Bo na girlfriend wake Ye Chengchen,
Kwa kuwaua kwa kuwatupa Watoto wawili (wakike Zhang Ruixue, 2, aliefia papo hapo, na wakiume Zhang Yangrui, 1 aliyefia hospital) kutoka gorofa ya 14 ya apartment waliyokua wanaishi...

Tukio hilo lilitokea Nov/02/2020, Ambapo Mwanaume aliyekua ametalakiana na mke wake mwaka 2019 alikua akitoka na mwanamke huyo Bila kumuambia ya kua ana watoto,

Baada ya mwanamke kugundua, ndipo alipoanza kumshindikiza auwe wanae hao ili waishi kwa amani lakini pia alidai wazazi wake hawatapenda yeye kuolewa na mwanaume mwenye watoto...

Baada ya ushawishi wa mara kadhaa, Mwanaume huyo siku moja kabla ya tukio alimuomba mtoto wa kike aliyekua akiishi na mama yake baada ya kugawana katika malezi, ili aje amsalimie mdogo wake, Ndipo Alipowarusha wanae hao akiwa peke yake ndani, ikiwa ni muda mchache tuu Mama yake mzazi ambaye ndiye alikua mlezi wa watato(wajukuu) kutoka na kusingizia ni ajali na alikua amelala, baadae ilibainika ni njama.

Screenshot_20240202_200120_Google.jpg
 
Nawapenda China hawataki mzaha ila wana shida moja ya kuruhusu vitu visivyo kidhi vigezo kutengenezwa kwao
 
Alafu kuna punguani mmoja anaandika "...hii ndiyo shida ya wanaume kutoumbertoumber ovyo"
 
Safi Kuna yule mwingine mbongo ambae amemuua Mke na kutoa kichanga akapika,huyo haija haja ya kwenda kupima akili ni kinyonga na kutupa kama mzoga huko.
Mahakama nchini china imewanyonga wapenzi wawili Zhang Bo na girlfriend wake Ye Chengchen,
Kwa kuwaua kwa kuwatupa Watoto wawili (wakike Zhang Ruixue, 2, aliefia papo hapo, na wakiume Zhang Yangrui, 1 aliyefia hospital) kutoka gorofa ya 14 ya apartment waliyokua wanaishi...

Tukio hilo lilitokea Nov/02/2020, Ambapo Mwanaume aliyekua ametalakiana na mke wake mwaka 2019 alikua akitoka na mwanamke huyo Bila kumuambia ya kua ana watoto,

Baada ya mwanamke kugundua, ndipo alipoanza kumshindikiza auwe wanae hao ili waishi kwa amani lakini pia alidai wazazi wake hawatapenda yeye kuolewa na mwanaume mwenye watoto...

Baada ya ushawishi wa mara kadhaa, Mwanaume huyo siku moja kabla ya tukio alimuomba mtoto wa kike aliyekua akiishi na mama yake baada ya kugawana katika malezi, ili aje amsalimie mdogo wake, Ndipo Alipowarusha wanae hao akiwa peke yake ndani, ikiwa ni muda mchache tuu Mama yake mzazi ambaye ndiye alikua mlezi wa watato(wajukuu) kutoka na kusingizia ni ajali na alikua amelala, baadae ilibainika ni njama.

View attachment 2892143
 
Hawa hata huko waendako watanyongwa, huyo mwanaume akili hana kabisa, kichwa cha chini kimegharimu maisha ya watoto.
 
China miaka kadhaaa iliyopita walikuwa na sheria ya kuua watoto ili kudhibiti idadi ya watu, sasa wameanza kubaki wazee wanaona umuhimu wa kulinda watoto
 
Mahakama nchini china imewanyonga wapenzi wawili Zhang Bo na girlfriend wake Ye Chengchen,
Kwa kuwaua kwa kuwatupa Watoto wawili (wakike Zhang Ruixue, 2, aliefia papo hapo, na wakiume Zhang Yangrui, 1 aliyefia hospital) kutoka gorofa ya 14 ya apartment waliyokua wanaishi...

Tukio hilo lilitokea Nov/02/2020, Ambapo Mwanaume aliyekua ametalakiana na mke wake mwaka 2019 alikua akitoka na mwanamke huyo Bila kumuambia ya kua ana watoto,

Baada ya mwanamke kugundua, ndipo alipoanza kumshindikiza auwe wanae hao ili waishi kwa amani lakini pia alidai wazazi wake hawatapenda yeye kuolewa na mwanaume mwenye watoto...

Baada ya ushawishi wa mara kadhaa, Mwanaume huyo siku moja kabla ya tukio alimuomba mtoto wa kike aliyekua akiishi na mama yake baada ya kugawana katika malezi, ili aje amsalimie mdogo wake, Ndipo Alipowarusha wanae hao akiwa peke yake ndani, ikiwa ni muda mchache tuu Mama yake mzazi ambaye ndiye alikua mlezi wa watato(wajukuu) kutoka na kusingizia ni ajali na alikua amelala, baadae ilibainika ni njama.

View attachment 2892143

Wanawake wenu hao, mkiambiwa msiwasikilze hamsikii
 
Nawapenda China hawataki mzaha ila wana shida moja ya kuruhusu vitu visivyo kidhi vigezo kutengenezwa kwao
Kutengeneza bidhaa Fekelo ni sera ya: 'kila mtu apate".

Na mchina ni kama mwanamke malaya mwenye kujitambua, huwa haachi hela.

Bidhaa inatengenezwa kutokana na thamani ya hela yako, yaani pesa inapanga bei ya bidhaa na siyo bidhaa kupanga bei ya soko.

Unadhani bila hiyo sera, pikipiki ya mjapani yenye kuzidi bei ya gari ungeweza kumudu kuimiliki?
 
Back
Top Bottom