Naombeni Idea yoyote ya Kisayansi ya kutatua changamoto flani katika Jamii.

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Ni hivi, kuna kitu inaitwa YOUNG SCIENTISTS TANZANIA, hii ni maalum kwa Wanafunzi sekondari, wanabuni wazo/tatizo ambalo ni common katika Mazingira yetu ya kitanzania,

Mfano labda kuna tatizo la Maji ya Chumvi, Jee utatumia njia Gani kutatua hilo tatizo?, labda una idea ya kuyatibu,

Wazo lako likiwa zuri linakua presented, likipokelewa basi unaingia katika competition ambayo ina acknowledgement mfano sponsors kwa wanafunzi n.k

Nimeletewa hio kitu niwasaidie kubuni wazo ila kila nilichotoa naona kama tayari kishafanyika
Mfano umeme wa Maji ya chumvi
Umeme wa Sumaku n.k

Sio lazima iwe idea ya kisayansi Sanaa, ila iwe changamoto yoyote ambayo unaona kabisa kuna njia flani rahisi ya kuitatua tofauti na inayotumika yaani mbadala, Au ndio iwe njia ya kwanza kabisa kwa tatizo husika.

Najua Kuna Wadau Watasema kuuza Idea ni Pesa, Ni kweli sikatai, kama utawiwa Nitashukuru, Na Nitaku update kwa kila hatua au hata kushiriki kabisa ili uwe acknowledged.
 
Umemaliza kidato cha nne au cha sita? Nenda chuo alafu uje uedit uzi wako!
 
Tuko pamoja
Nitarudi
Kuna changamoto nyingi sana zinazohitaji akili ya kawaida tu kuhamisha mlima wote
 
Back
Top Bottom