Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 789
- 3,230
Nilikua na route flani ya haraka basi ikabidi nikodi boda,
Kama kawaida yao kuchomekea na kujipenyeza, kufika mataa akaingia kati kati ya Semi trela kubwa mbili, moja imekula kilemba cha mbao Mpaka pomoni.
Nyingine ina Tank la mafuta, na kiboda chetu tupo kati kati, Achilia mbali tuu na hili la leo ila binafsi sipendagi kuingia kati kati ya Haya malori makubwa, Yaani yanatisha.
Jamaa kaona mbele gap ni dogo ila kaingia, nikamwambia ila akawa mbishi, kufika kati foleni ikaruhusiwa huko mbele, midude ishaanza kuchekechwa, Ukicheki kulia ni Engine zinanguruma, kushoto ni Mitairi inakukwaruzaaa.
Hapa Naangalia nyuma Kuna Bonge ya Tandam imeziba gap, Nikamwambia piga honi, ila nikawaza kabisa hapa kwa hii mikelele ya Engine hazitasikika.
Nikajiuliza hivi hawa jamaa wanajua hata kama wametubananisha hapa ili wachukue tahadhari?
Nikawaza pengine wanajua kwa site mirrors ila wanajali? au ndio ile kuwapuuza boda sababu yauzembe wao,
Hapa sasa joto likaanza kupanda, nikawa nashuka, akaniambia usishuke ndio utaharibu? Nikamuuliza hapa wewe una plani gani? Akajibu hii ishamtokeaga mwana mbona?
Nikaona huyu anautani na maisha yangu, kumbuka hapo sterling haichezi maana imebananishwa huku na kule.
Nilijizuia sana nisipanic, hasa kuona yale madude yakichekechwa na mikelele.
Nikawaza nipite chini, likiwashwa jee?
Yule wa nyuma yupo side ambayo kama hatuoni vzr, nikirudi kumfuata ngoma zikaanza kutembea na yeye ikawa hajui?
Wazo lilikua moja tu, nipite kati kati ya kichwa na trela, , issue najuaga pale panakua na moto sana jee ni sehemu ipi inakuaga na moto?
Jamaa kumcheki naye ashapaniki anaita tuu bila kusikikaa, kuona vile sikuwaza tena kuhusu kuungua nilikanyaga huku na kule nikashika mbao huku nikiwa siamini ninachofanya nikaruka nikatua na miguu, mikono na kichwa, unaweza ukavuta picha nilituaje..
Jamaa yangu kuona mambo yamekua magumu, akasaliti boda ile anapanda goma likawashwaa, watu wakampigia kelele asiruke.
Akashika mbao akaenda nalo mpk mbele lilivyosimama akaruka tukamdaka(aliungua kdg mkononi), pikipiki ikaenda chini, ikapitiwa kwenye sterling na taili ya mbele kwa mbali, tukazuia gari kdg tukaiburuza, Nikampa Pole nikampa buku 2 yake nikampa na 5 nyingne ya pole kutokana na Nilivyoweza.