Mtoto wa miezi 10 hawezi kutambaa, je ni sawa?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Naomba kujuzwa hili, nijuavyo kuna watoto wakiwa na miezi 7 huanza kutambaa kwa shida.

Huyu ninayemzungumzia anatimiza miezi kumi sasa, bado hajaanza kutambaa zaidi ya ku roll/zunguka na kuamka kukaa, kujistretch kama kitu kipo mbali na mateke.

Vitu vingine yupo full active, naomba kujua kuhusu hili? Je, kuna kitu cha kufanya zaidi ili ku emphasize hili?

Hua nikimshika hua nampaga phyzik mpaka mama yake anamuonea huruma, hua namuambia huyu ni ME hafai kudekezwa.

Naomba kujua mbili tatu kistaarabu wakuu.
 
Mtoto wangu aliwai kuwa na tatizo kama hilo,Baba akampeleka kwa bibi mmoja (Sango).. sango akasema huyo mtoto hana shida yoyoteila hilo jina mlilompa halitaki,anataka la bibi lake..the next morning Dingi akanuiza jina jipya haikuchujua muda akaanza tambaa.

Yeye miguu haikuwa na nguvu kabisa,hata kusimama alikuwa hawezi.
 
Yeye miguu haikuwa na nguvu kabisa,hata kusimama.
duuh
 
Eeeeh kumekuchaa
 
Nipe no,ya huyo sango ni muulizie kitu mkuu.
 
mtoto kutambaa anafundishwa ndugu muandishi... hakuna uchawi... mtoto mdogo hata kuongea kama hakuna vitoto vyenzake vya kucheza nae atachelewa kila kitu.

mfundishe mwanao kutambaa...
images (4).jpeg
images (3).jpeg
images (4).jpeg
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    45.6 KB · Views: 6
Mtoto wangu aliwai kuwa na tatizo kama hilo,Baba akampeleka kwa bibi mmoja (Sango).. sango akasema huyo mtoto hana shida yoyoteila hilo jina mlilompa halitaki,anataka la bibi lake..the next morning Dingi akanuiza jina jipya haikuchujua muda akaanza tambaa.

Yeye miguu haikuwa na nguvu kabisa,hata kusimama alikuwa hawezi.
Huyu ukimshika umsimamishe yeye anajua mnacheza anakunja miguu anakupiga mateke anacheka.
Au ndio miguu kukosa nguvu ya kusimama?
 
Kwa Uzoefu wangu, mtoto kuchelewa kutambaa kunachangiwa na mambo mengi.
  • Uzito Mkubwa, kama mtoto atakuwa na uzito Mkubwa huwa wanachelewa kutambaa, pia kutembea maana huwa na kawaida ya Uvivu.
  • Kama atakosa watoto wenzake wa kumfanya ajisikie kutaka kuwafata wakiwa wanacheza, japo unaweza kumtupia vitu mbele yake then awe anajaribu kuvifuata.
  • Nimesikia mkiwa mnashiriki na Mumeo/Mkeo alafu msifate kanuni za kiafya za kuoga baada ya Tendo ndiyo mje mumshike mtoto mtafanya achelewe kukua. Ama mmoja wapo akiwa anachepuka huko nje pia huchangia hilo tatizo.
NB
First born wangu alitambaa na kisha kutembea baada ya miezi 11, 2nd born wangu alifanya hayo akiwa na miezi 8

Kila la kheri kwenye Malezi ya huyo Champ, wishing you all the best 🙏
 
Kwa Uzoefu wangu, mtoto kuchelewa kutambaa kunachangiwa na mambo mengi.
  • Uzito Mkubwa, kama mtoto atakuwa na uzito Mkubwa huwa wanachelewa kutambaa, pia kutembea maana huwa na kawaida ya Uvivu.
  • Kama atakosa watoto wenzake wa kumfanya ajisikie kutaka kuwafata wakiwa wanacheza, japo unaweza kumtupia vitu mbele yake then awe anajaribu kuvifuata.
  • Nimesikia mkiwa mnashiriki na Mumeo/Mkeo alafu msifate kanuni za kiafya za kuoga baada ya Tendo ndiyo mje mumshike mtoto mtafanya achelewe kukua. Ama mmoja wapo akiwa anachepuka huko nje pia huchangia hilo tatizo.
NB
First born wangu alitambaa na kisha kutembea baada ya miezi 11, 2nd born wangu alifanya hayo akiwa na miezi 8

Kila la kheri kwenye Malezi ya huyo Champ, wishing you all the best
Asante sanaa, Hio nadharia ya mwisho Hata Wife aliniambia na tupo nayo makini.

Nashukuru sana.
 
ni mtoto wenu wangapi? naskia watoto wa kiume wana mashart sana ikiwemo tenge analobebewa mgongo mama asilisotee yan asilivae akashinda nalo anafanya nalo kaz lipo kiunon baadae anambebea hilohilo na mkishuka kitandani msiwe mnaruka, na mama akiwa amekaa asipende kumkalisha katikati ya miguu yake

utambue pia watoto wengine huwahi wengine huchelewa, vipi ukikisimamisha kinakaza miguu? namaanisha miguu haitepeti yani kulegea? akikaa chini anasota na makalio?
 
Nenda hospitali ukiambiwa hana shida yeyote kuwa mvumilivu.... watoto wanatofautiana na kila mtu anakua kwa speed yake, muhimu anaenda sawa na umri wake.
Kuna watoto wanatembea miezi 10,
Wengine mwaka na zaidi
 
Asante sanaa, Hio nadharia ya mwisho Hata Wife aliniambia na tupo nayo makini.

Nashukuru sana.
Kiukweli Mwanamke akiwa analea, pamoja na ukweli kuwa huwa wanachoka sana lakini ndiyo kipindi huwa wanapoteza hamu ya kushiriki ngono.

Bahati mbaya sisi Wanaume tunakuwa na hamu vile vile, kitendo kinachofanya wengine waanze kuchepuka kukidhi hitaji la kimwili.

Sisi wengine tunahamia Chaputa mara moja moja(Kuna watu watashangaa kuwa Mtu aliyeoa anawezaje kupiga punyeto, kuweni muone), maana katika wakati mbaya kuchepuka ni wakati Mke akiwa ananyonesha maana kuna risk ya kumwambukiza mtoto iwapo nawewe ulichepuka na Mwenza mwenye maambukizi.
 
Naomba kujuzwa hili, nijuavyo kuna watoto wakiwa na miezi 7 huanza kutambaa kwa shida.

Huyu ninayemzungumzia anatimiza miezi kumi sasa, bado hajaanza kutambaa zaidi ya ku roll/zunguka na kuamka kukaa, kujistretch kama kitu kipo mbali na mateke.

Vitu vingine yupo full active, naomba kujua kuhusu hili? Je, kuna kitu cha kufanya zaidi ili ku emphasize hili?

Hua nikimshika hua nampaga phyzik mpaka mama yake anamuonea huruma, hua namuambia huyu ni ME hafai kudekezwa.

Naomba kujua mbili tatu kistaarabu wakuu.
Anakula chipsi? Anyway siyo sawa, japo kuna baadhi ya watoto unashangaa tu anasimama Kwenye viti, mara meza na hapo hajatambaa.
 
Back
Top Bottom