Kiutendaji wa kiuslama kiongozi au vyovyote....Je si busara baadahi ya picha hasa za maeneo nyeti kama haya yakimaandalizi ziruke kupitia ofisi ya Rais media na si vyombo binafsi?Nikiwa na maana taarifa za awali za picha za michakato ya kiitelejensia zisiruke kupitia vyombo binafsi????
Kama...
Wepesi wetu wa kuaminiana na undugu kitaifa ndiyo hatari ya kesho yetu ambayo ina maswali magumu na isiyo tingishika...
Matukio ya leo ya viongozi wa juu yanapasa kuilinda kesho ya nchi yetu na siyo kesho yao. ....
Matumizi ya camera au jicho la kidigitali ni muhimu sana kwa taasisi kubwa...
Hili tukio si jepesi kwa leo ila lina gharama sana kesho sababu...kesho yetu ni raini sana kiutekelezaji wa uharifu😊
Camera ni jicho na jicho ni haramu kama tu litaona na kuonesha vitu ambavyo si rafiki kiusalama.
Umakini wa watu wetu wa habari ni muhimu sana kwa kila hatua ya nchi...Ikiwemo Raisi...
Budi zipo juu ya nini kinaendelea huko ndani...lakini usalama wa Taaisi uwe wa kwanza...hakuna sababu ya kila hatua kuwa wazi...hasa za kiulinzi
Uwazi wa mambo ya ndani hata kama kwa bahati mbaya ni...
Unauhakika boss?wakati na muda ni vitu muhimu sana ,kama ungekubari kutulia mbele ya simu yako angalau ingekuonesha yote hayo uliyo hoji au kuto yaona...Mmmh.,..Anyways. nimekusoma....
Una miakili mingi sana...Hahhahaha mtu kama rais anahitaji muda kidogo kurusha maudhui yake....
Kama utafanya bila kuhariri maana yake unamuweka raisi wako katika matukio magumu kesho yake ni kama unaonesha matukio yanafanyikaje...ulinzii wake upoje...Anyway...She is a president...kila kitu...
Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe....
Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
Mama, sio kila mwanga unaweza kuonesha au kuangaza kile king'aacho katika uso wa Dunia...
Japo macho yako yana angaza na kuona hata punje ya mchanga...ILA Kuna viang'aavyo huvioni sababu Kuna Maumbo na kingo zinazo tengeneza vimvuli vinavyo "Over shadow" the brilliant sparkels...
Vimvuli...
Mama amegusa sehemu nyeti ya majizi Konki...Amegusa shimo la giza lenye mi-n'ngee
Amesha mwaga petrol hata kabla ya moto taharuki yake ni kama tetemeko...
Sijui akisha washa njiti ya kiberiti na kuanza kuelekeza kwenye hiyo midudu nini kitatokea...
Maana kwa sasa midudu inahemea hadi wa...
Kwa unafiki wa sifa na mapambio unaoendelea kwa hayati Rais yetu aliyefariki madarakani,k wa wale waliokua wanamkosoa awali na kumuona mtu muovu na mkosaji..na sasa wanamuona nabii na mtu mtakatifu.
Hili ni funzo kwako Wewe mwanadamu ambaye bado una nyama mbichi, na Moyo ambao bado unasukuma...
Huna haja ya kuweweseka wala kukosa usingizi....
Jengo haliuzwi...ila linachomwa kabisa kuondoa mizizi ya hasara na mazingaombwe...
Maana kama kuteua wameteua kama kutengua wametengua ila wapi...
Dawa ya jengo lenye tunguli ni moto...
Na baada ya moto Mwarabu ataanza at fresh point...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.