Hizi tuhuma za ufisadi hapo sizioni.Kwenye hilo la Call Centre Nawapongeza sana Tanesco kwani sasa TANESCO wamekuwa na Response Rate kubwa sana kwenye issues tunazopeleka Call Centre. Ukilinganisha na kipindi kile ambacho watoto wa fildi ndo walikuwa wanahandle Dawati la Dharura.
Kuhusu Kuajiri...
Mkuu Imagine kama ni Ofisi ambayo ina wafanyakazi 20 ukiwanunulia bando la laki 9 kwa mwaka.ina maana Gharama yako kwa GB moja ya DATA ni Shilingi 500.Kila mwezi unakuwa na GB 130+.
Mkuu kwenye kuchagua kozi ya Kusoma kuna mambo mengi sana ya kuangalia.Je Mdogo wako Mpaka anamaliza Darasa la 12 ana interest na hayo Mambo ya Multimedia and Film Production?Kama Jibu ni Ndio Basi Fursa zipo Nyingi sana kwani Hii Kozi inahusisha TIKTOK,YOUTUBE,ADOBE,RADIO,MUSIC/UDJ,Graphic...
Mkuu,Kozi kama hizi unaweza kuwa PIA mwalimu wa Chemistry na UKAWA Mwalimu Mzuri sana.Lakini Pia Unaweza kuwa Technical Sales Wa Chemical Substances Maana watu wengi ambao wanafanya Sales Za Chemicals wengi sio Wanataaluma.Kama Bado Uko Available Nicheck Inbox Tujadili Baadhi ya Fursa ambazo...
Mkuu,Imagine.Unakuwa na Kampuni yako ambayo.Product Development,Marketing,Recruitment,Sales etc.Inafanywa na Outsource.Wewe Kazi yako na Kuangalia Salio Benki,Kusign Cheque za malipo na Kutambulika kama Mmiliki Wa Biashara.Utakataa?Hio Ndio inaitwa FOO
Mkuu,Faida ya kujenga Nyumba ni kwamba ni Fixed Asset.Kasi ya Kushuka thamani ya Cash ni kubwa kuliko Kasi ya Kushuka thamani ya NYumba.Nyumba Unaweza Kufanya kitu kinaitwa Equity Release na Ukapata Casha Value ya Mpaka 75% Huku Nyumbu ikiendelea kukutengenezea Pesa.Pia Nyumba Unaweza Kupiga...
Mkuu,Sio Poa.Unafikiri Kukutengenezea Kiti Kizuri,TV,Tabasamu,Mapaja Manono,Kukufungulia Bia na KUkunywesha,Mziki mzuri n.k.Kwa hiyo hela yako inatosha?Waachie nao wafurahie bana.
Angalizo:
Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika.
Utangulizi.
Katika biashara...
Mkuu,Katika kesi ambazo huwa siziamini ni Kesi zote ambazo zinahusiana na suala zima la NGONO.Sisemi kwamba Naunga Mkono alichofanya DED ila ninachosema ni kwamba Kesi nyingi zinazohusiana na NGONO zinapokuwa zina migogoro ya kimaslahi basi huwa nakaa kwenye ile kanuni ya Innocent until proven...
Uendeshaji wa Madanguro ni Kosa la JINAI,Nenda Polisi Fungua Kesi UWE na RB,Polisi waje wawakamate wawapeleke Mahakamani Wewe Uwe Shahidi kwamba Uliwaona wakifanya Ukahaba Wapelekwe Segerea Hapo Jirani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.