Search results

  1. Billie

    Serikali binafsisheni TANESCO sio Bandari

    Umeme,maji na internet ni nyezo zinazofanya vijana wengi wajiajiri na sector binafsi zikue. Cha ajabu mnaenda kubinafsisha Bandari ambayo raia wa kawaida haelewi atanufaikaje na ubinafsishaji huo. Raia tusio na upeo tunajiunga kupinga ubinfsishaji wa bandari yetu hata kama huo mkataba...
  2. Billie

    Wake zetu kutunyima, hii ina maana gani?

    Unakuta kuna kupishana kidogo mke anakimbilia kukunyima haki yako ya ndoa. Sasa najiuliza Je Kutunyima 1.Tuteseke 2.Tutubu 3.Tukome Anyway ni hivi mimi nanyimwa hii siku ya 23 nahisi ntamaliza mwezi ila kwa kweli nye.ge zinavuruga kichwa jamani. Now nipo bar nakula vitu asije akatokea demu...
  3. Billie

    Kitu gani hupendi ufanyiwe wakati wa faragha na mwenzi wako

    Tukianza na mimi sipendi unishike ki makonda changu i mean kalio Cha pili.Nakuwa un comfortable demu/wife akiwa anachezea makende yangu kwa sababu nahisi kama anazilia Timing zile goroli ili aziminye nilie kama mbwa aliepigwa jiwe.Coz wanawake wengine hawajui kuchezea makende wanayavuta...
  4. Billie

    Dunia na uchumi wake umebadilika waTanzania tubadilike nayo

    Mi sio mzuri wa kaundika mada anyway nimeangalia clip fulani TIK TOK ikionesha majaba na mabox yamejaa barua za maombi ya ajira kwenye taasisi fulan walioomba ajira kwenye hiyo taasisi,Hii inaonesha ni namna gani elimu yetu inavyomaliza hela za wazazi wetu. ONO LANGU LIPO HAPA.Sasa hivi bora...
  5. Billie

    Nini sababu ya TANESCO kung'ang‘ania kuwa wao tu ndio wazalishaji pekee wa nishati ya umeme

    Huku nilipo kuna mgao wa umeme ambao naona hata sio rafiki na maisha ya utafutaji ya kila siku ya watanzania Mfano Welding, wauza vinywaji, mafundi wote watumia nishati ya umeme, wauza samaki, fresh foods n.k Ndipo nikaja na swali je kipi kipo nyuma ya pazia TANESCO kuwa monopoly producer wa...
  6. Billie

    Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESKTOP...
  7. Billie

    Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

    Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi. Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri. Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki...
  8. Billie

    Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

    Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada. MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya...
  9. Billie

    Bunge la 12 litapata Wapinzani automatically

    Mbunge wa Mafinga Mjini Cosato Chumi amesema haya, "Mh. Rais kwenye hotuba amesema tutengeneze Mabilionea na tusiogope, jambo la kwanza ambalo tunatakiwa tusiogope ni tusiogope kusema uhalisia.. nasikitika sana kule Mafinga unakuta Mtu kauza miti yake MILIONI 300 au 400 kuna kuja sijui Task...
  10. Billie

    Nimepanga mwanangu asome mwisho Kidato cha 4, asiendelee cha 5 na 6

    Habarini wazazi na wakereketwa wa mfumo wa elimu ya hapa nchini. Nimetafakari sana nimegundua elimu ya Tanzania ina format ya zamani so kudeal na ulimwengu wa leo ni vigumu mno na ndiyo maana tuna wahitimu ngazi ya degree ila kichwani wana general knowledge kiasi kwamba hata ukimpa milion 50...
  11. Billie

    Dada wa lodge kanifananisha mke wangu kapanic kichizi

    Nipo na mke wangu na watoto natoka kwangu mkoa fulani x ni mwendo wa kilometa kama 1000 kufika kwa wazazi wetu Dar(you know likizo time now) Sasa kwa vile jana nilikesha(kumalizia viporo vya kazi yangu) halafu nimeamkia kuendesha gari kuelekea Dar sasa nimejikaza kisoja nikajua nitatoboa ila...
  12. Billie

    Kwanini Wasanii wasindikiza kampeni hawaonekani kwenye majukwaa ya Wapinzani?

    Tupo kwenye kampeni ila karibia washehereshaji wa kampeni/ wasanii/ wanamziki wote wanafanya kazi upande mmoja tu hii inanishangaza sana yaani hata wakina Profesa Jay wameshindwa kutunga hata wimbo mmoja wa kusindikiza kampeni za CHADEMA? Jambo hili linazaa maswali mengi sana kwa kweli inafika...
  13. Billie

    Mke anayefanyakazi (Mtumishi) Vs Mama wa nyumbani

    Tutasalimiana baadae ngoja ni jump mpaka kwenye mada yenyewe. Mimi nimeoa mke ambae mtumishi(anatumikia vyeti vyake) ambapo inapelekea mke wangu kupata ma safari ya kikazi ambayo muda mwingine anapangiwa na li mwanaume analofanya nalo kazi(sometime ni yale ma mwanaume makwale sijui yana...
  14. Billie

    Polisi kitengo cha Makosa ya Mtandao hakifanyi kazi kwa jinsi ilivyotarajiwa!

    Ipo hivi: 1.KAMA SIMU YAKO YA BEI KALI (KUANZIA LAKI 3) wanamkamata mwizi wako wanamkamua mpunga kwa kumpa hadithi ya kuwa umepoteza na laptop, hela kiasi kadhaa au mtu aliuliwa huko simu ilipoibiwa then wanamtaka mtuhumiwa wako awape hela kiasi kadhaa ili ku compensate kiasi ili kesi iishe...
  15. Billie

    Kwenye hili mke wangu nimejisikia vibaya sana kwa kweli

    Hapa hata kuwasalimia sina hamu. Nimekwama hela(mil 2 tu) ya kumalizia mradi wa familia tena nimejilamisha mbele ya mke wangu kumbe mwenzangu amepokea mil 5 za kikundi chao(wamevunja kikoba) mbaya zaidi mimi ndo nilikuwa mtoa hela ya hisa kila jmosi . Kwenye hili nimewaogopa sana wanawake...
  16. Billie

    AFRICA Corona haitatuua direct ila model ya upambanaji nayo ndiyo itatuua zaidi

    Kenya polisi imeshaua watu watatu kwa ajili ya kulazimisha watu wasitoke nje ila corona imeua mmoja tu.Huku tunasahau kuwa ili familia ya mwafrika ipate mkate wa kila siku inabidi head of the family atoke akatafute chochote kitu ili arudi nacho nyumbani. Pili uchumi wa nchi fulani ukiingia...
  17. Billie

    Serikali (Wizara ya Afya) iangalie hawa wanaopita peku peku kwenye kisima cha maji ya baraka na uponyaji kwenye kanisa la Suguye

    Watu wanaingia wengine wana fangasi, magonjwa ya zinaa ambayo yameotesha mapele miguuni nashangaa wengine wanachota na kiganja na kunywa ama kusukutua ili wachote baraka kuanzia miguuni hadi kwenye tumbo kumbe wanavuna fangasi. TAZAMA PICHA HAPO CHINI. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Billie

    Nimepewa siri nashindwa kuitunza (roho inauma)

    Habari zenu wazee wa mmu, Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo. Mimi nimeoa na yeye ameoa sasa huyu jamaa yangu ni type fulani ya watu wapole kupita kiasi. Hapa karibuni...
  19. Billie

    Kutokana na hali ngumu ya maisha kwa sasa, watu wanauza mali zao bei nafuu

    Huku mtaani watu wanauza nyumba, viwanja, mali za ndani magari kwa bei nafuu sana ukiuliza sababu utasikia wanadaiwa na bank, mtoto kafukuzwa shuleni/ chuo kwa sababu ya ada. Mara unakuta mwingine anaumwa hivyo inalazimu auze assets zake na ndugu. In short huyu bwana akipita 2020 raia wa...
  20. Billie

    Uzi wa kutupia makubaliano tulioafikia kwenye kikao chetu cha mwisho

    Nikianza na mimi mwenyewe nakumbuka kuwa tulikubaliana 1. Hakuna kumtumia mwanamke nauli,kama nauli tutalipa akifa. 2."Hakuna kuoa mwanamke aliezalia nyumbani" 3.Hakuna kutuma na hela ya kutolea NIMESAHAU MAKUBALIANO MENGINE TULIOYOKUBALIANA KWENYE KIKAO NAOMBA WANAUME TUKUMBUSHANE MISIMAMO NA...
Back
Top Bottom