Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,869
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
 
Back
Top Bottom