Serikali (Wizara ya Afya) iangalie hawa wanaopita peku peku kwenye kisima cha maji ya baraka na uponyaji kwenye kanisa la Suguye

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,874
Watu wanaingia wengine wana fangasi, magonjwa ya zinaa ambayo yameotesha mapele miguuni nashangaa wengine wanachota na kiganja na kunywa ama kusukutua ili wachote baraka kuanzia miguuni hadi kwenye tumbo kumbe wanavuna fangasi.

TAZAMA PICHA HAPO CHINI.

20191229_143216.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unaking'amuzi kizuri cha Azam na TV kali ya Samsung lakini huvitendei haki kwa kuangalia channel za maana matokeo yake unawaangalia kina suguye king'amuzi kikipiga shoti utamlaumu nani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu acha kuichosha serikali. Hao watu wana akili zao vizuri na wengine ni wasomi kabisaaa. By the way hayo ni maji ya upako hakuna kuambukizana magonjwa kwa jina la yesu 😀😀😀
 
Hata Maji ya baraka ya wakatoliki yale huchovya wakiingia kanisani na kutoka kusali kujipaka wakisali ishara ya msalaba Kama ni hivyo inabidi nayo yapigwe marufuku.Sababu wengine wanachovya mikono yao Ina vidonda na upele Ni rahisi kudaka magonjwa

Pia ile ibada ya kubusu msalaba ya wakatoliki ipigwe marufuku sababu za kiafya mtu mwingine anabusu Ana vidonda mdomoni akienda busu mwingine aweza pata maradhi

Pia kubusu Pete ya Askofu nako.kupigwe marufuku watu waweza ambukizana magonjwa kwa kupokezana kubusu Pete ya Askofu au Papa
 
Yote sawa tu
Hata Maji ya baraka ya wakatoliki ile huchovya wakiingia kanisani na kutoka Kama ni hivyo inabidi nayo yapigwe marufuku.Sababu wengine wanachovya mikono yao Ina vidonda na upele Ni rahisi kudaka magonjwa

Pia ile ibada ya kubusu msalaba ya wakatoliki ipigwe marufuku sababu za kiafya mtu mwingine anabusu Ana vidonda mdomoni akienda busy mwingine aweza pata maradhi

Pia kubusu Pete ya Askofu nako.kupigwe marufuku watu waweza ambukizana magonjwa kwa kupokezana kubusu Pete ya Askofu au Papa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu hao akili hawana ata kidogo kwaN wamekosa dawa za madude yao hayo,wanamsingizia yesu bure yesu ye alikuja kubeba dhambi zetu tu na si kuponya magonjwa yenye dawa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Maji ya baraka ya wakatoliki ile huchovya wakiingia kanisani na kutoka Kama ni hivyo inabidi nayo yapigwe marufuku.Sababu wengine wanachovya mikono yao Ina vidonda na upele Ni rahisi kudaka magonjwa

Pia ile ibada ya kubusu msalaba ya wakatoliki ipigwe marufuku sababu za kiafya mtu mwingine anabusu Ana vidonda mdomoni akienda busy mwingine aweza pata maradhi

Pia kubusu Pete ya Askofu nako.kupigwe marufuku watu waweza ambukizana magonjwa kwa kupokezana kubusu Pete ya Askofu au Papa
We utakuwa shemasi wa suguye, inamaana dini moja ikifanya vibaya inajustfy ma nyingine kufanya hivo hvi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom