Kwanini Wasanii wasindikiza kampeni hawaonekani kwenye majukwaa ya Wapinzani?

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,721
19,863
Tupo kwenye kampeni ila karibia washehereshaji wa kampeni/ wasanii/ wanamziki wote wanafanya kazi upande mmoja tu hii inanishangaza sana yaani hata wakina Profesa Jay wameshindwa kutunga hata wimbo mmoja wa kusindikiza kampeni za CHADEMA?

Jambo hili linazaa maswali mengi sana kwa kweli inafika point unaanza kujiuliza je

1. Wanatishwa iwapo wakitunga wimbo wa kuiponda CCM

2. Wanaogopa wenyewe

3. Maslahi madogo upande wa Upinzani

4. Ubahili wa kuwalipa hao wasanii

Ila pamoja na yote wasanii wetu wa bongo flavor mmekuwa mkitunga nyimbo nyingi zinabeza upande wa upinzani je mmejiuliza iwapo upinzani ukishinda huoni kama Rais kutoka upinzani anaweza kuwapotezea kwa sababu mlikuwa mnawabeza kwa maneno mbali mbali kama vile "wapinzani wanambwera",wamekalia misumali",
 
Tupo kwenye kampeni ila karibia washehereshaji wa kampeni/wasanii/wanamziki wote wanafanya kazi upande mmoja tu hii inanishangaza sana yaani hata wakina Profesa Jay wameshindwa kutunga hata wimbo mmoja wa kusindikiza kampeni za CHADEMA?

Jambo hili linazaa maswali mengi sana kwa kweli inafika point unaanza kujiuliza je...
Wakachangishwe hela
 
Hata hao wasanii siyo wajinga kwenye mioyo yao wanaushuku upinzani maana umewaweka juu hata wengine kura watapiga upinzani hivi imagine hata toti band upinzani ukifa hata wao wanashahaulika na kazi nyingi tuliopewa na kupaishwa kwa kutukana upinzani tunaomba upinzani uendelee kuwepo ili tuzidi kula na kuheshimiwa mezani kwa wakubwa.
 
Kama wewe ni mtu maarufu na unataka kutengeneza pesa lazima uwe chama cha chetu, kama unaunga mkono upinzani basi fanya kimya kimya vinginevyo mfumo utakushughulikia
 
Upinzani yahitaji ujasiri na moyo mgumu kama Lissu
Tamaa za pesa hazihitajiki
Upinzani kwani una pesa?.Mtoe wapi wakati mwenyekiti wenu anahonga vitu maalum ruzuku zenu, michango yenu mnakosa hata hela ya kurepea ofisi.Hovyo kabisa.
 
Kama wewe ni mtu maarufu na unataka kutengeneza pesa lazima uwe chama cha chetu, kama unaunga mkono upinzani basi fanya kimya kimya vinginevyo mfumo utakushughulikia
Kama vile nimeanza kupata jibu.
 
Tanzania hakuna upinzani ni uanaharakati tu. Una chama chako halafu mgombea wa uraisi unampa Lissu ? Hata sera hana ni matusi tu na ubishi, unatarajia nini ? Kwa hiyo wapinzani waende huko kufanya nini ?
 
Upinzani sio disco,wanachanga wenye(1)akili(2)wenye moyo wa mabadiliko(3)wenye roho safi.wasanii wengi kichwani mabox tuu
Mmekomeshwa wezi nyie@ mkichoka mrudi kwenu Banyamulenge nyie huku mambo yamebadirika na akitoka Magu hakuna kosa kama la Mkwere ambaye hakuandaa mrithi alibaki anaoa oa tu.Hapa ajaye naye ni chuma anapikwa kwahyo mjiandae miaka kumi ya uongozi biriani uongozi chuma uongozi sambusa.uswahili na wizi hatutaki tena.Mkwere anatamani kurudi yaani ni miaka kumi ya hasara!
 
Baba Levo sio msanii! Halafu unataka wajipeleke ni lazima waitwe na muwe na mshiko nani anataka ujinga nije Niwaambie bure.mkipata vyeo mnakula na Mbowe
 
Uanaharakati ni nini?
Tanzania hakuna upinzani ni uanaharakati tu. Una chama chako halafu mgombea wa uraisi unampa Lissu ? Hata sera hana ni matusi tu na ubishi, unatarajia nini ? Kwa hiyo wapinzani waende huko kufanya nini ?
 
Mmekomeshwa wezi nyie@ mkichoka mrudi kwenu Banyamulenge nyie huku mambo yamebadirika na akitoka Magu hakuna kosa kama la Mkwere ambaye hakuandaa mrithi alibaki anaoa oa tu.Hapa ajaye naye ni chuma anapikwa kwahyo mjiandae miaka kumi ya uongozi biriani uongozi chuma uongozi sambusa.uswahili na wizi hatutaki tena.Mkwere anatamani kurudi yaani ni miaka kumi ya hasara!
Uo wizi ulikuwa unafanywa na CHADEMA?
 
Mmekomeshwa wezi nyie@ mkichoka mrudi kwenu Banyamulenge nyie huku mambo yamebadirika na akitoka Magu hakuna kosa kama la Mkwere ambaye hakuandaa mrithi alibaki anaoa oa tu.Hapa ajaye naye ni chuma anapikwa kwahyo mjiandae miaka kumi ya uongozi biriani uongozi chuma uongozi sambusa.uswahili na wizi hatutaki tena.Mkwere anatamani kurudi yaani ni miaka kumi ya hasara!
Mbona kama vile mmepanic? Mwambieni ndugu yenu aache kuona kila mpinzani ni adui yake na hili jambo linawatisha wasanii wengi check kwa Roma mkatoliki kaimba nyimbo moja tu na kukimbia USA (kawa mkimbizi wa kisiasa).CCM mnatuletea siasa ngeni sana awamu hii
 
Tanzania hakuna upinzani ni uanaharakati tu. Una chama chako halafu mgombea wa uraisi unampa Lissu ? Hata sera hana ni matusi tu na ubishi, unatarajia nini ? Kwa hiyo wapinzani waende huko kufanya nini ?

Chama sio cha mtu, sio cha kupewa.
 
Mfano Chadema 2015 walimtumia sana Ney wamitego na Roma mkatoliki mwisho wasiku wakawadhurumu.
sasamifano ipowazi nani ataenda upinzani akadhurumiwe?.
kwasasa wapinzani hata fedha za kampeni hawana wanachangishana kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom