Mke anayefanyakazi (Mtumishi) Vs Mama wa nyumbani

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,874
Tutasalimiana baadae ngoja ni jump mpaka kwenye mada yenyewe.

Mimi nimeoa mke ambae mtumishi(anatumikia vyeti vyake) ambapo inapelekea mke wangu kupata ma safari ya kikazi ambayo muda mwingine anapangiwa na li mwanaume analofanya nalo kazi(sometime ni yale ma mwanaume makwale sijui yana kizizi). Anyway kuna mida anarudi kachoka mpaka analala na mi nguo ya kazi kiasi kwamba hata nikiwa na upwiru naweza mshika maeneo fulani ya mwili wake naona kabisa nam-boa,Kuna siku naanza kujilaumu kuwa na mawazo ya kimario ya kusema eti nioe mwenye kazi ili tusaidiane ilihali hadi viwembe vya kunyolea manywele ya kwapa lake anaomba hela kwangu ya viwembe in short sioni huo unafuu wa utumishi wake.

Nikiangalia jirani ana mke wake goli kipa ambae kampa mtaji wa kuuza ice cream(balafu tamu) shuleni na home kiasi kwamba yule shem anaplay part kama wife wa kiafrika i mean anaweza kuihudumia famialia kwa kuipikia, kumuandalia mume hata maji ya kuoga, chakula huku nikiangalia kwangu naona mke wangu anakuja kachoka utafikili katoka kucheza movie la ex yaani imefika muda mke wangu hawezi hata kufua nguo zangu labda boxer zangu yaani kazi za malezi ya watoto na za nyumbani kamuachia dada wa kazi na mbaya zaidi huyo dada wa kazi anamchagua yeye (mbaya ki muonekano/mweusi pia mshamba kichizi yaani) ina maana anajua kabisa mi sitoweza kumtongoza wala kumuomba mbunye kwa sababu napenda mademu weupe kama mke wangu white.

Yaani kuna mida unaplan nae mkainjoi huko duniani linapigwa li simu kutoka ofisini mwake linaharibu out yenu kwa kweli ni kero kuna mida naanza kujiona kama vile nimeoa MWANAUME mwenzangu kwa sababu ukimtisha kumuacha nae anakuchimba beat tofauti na mke wa jirani yangu(goli kipa) ambae akipandishiwa kibesi na mmewe ananyenyekea na kuomba mishamaha.

Sasa kubwa kuliko usiombe ahamishwe(iwe kafanya vizuri kazini makao makuu yao yaweza kumtaka aende kuwaboost mkoa mwingine bila kujali boss wake mkuu upo mkoa huo) na hata akiboronga kazini anahamishwa kama adhambu ya utumbo aliofanya huko kazini kwake tena unaanza kuingia kwenye mtihani wa kupiganisha ahamie mkoa wa karibu yaani kwa kweli enyi wake zetu watumishi mnatufanya tuwe na watoto wa nje ya ndoa kwa sababu ya utumishi wenu.

kwa vile nili ahidi kuwasalimu baadae ngoja niseme MAMBO VIPI ila tu mwenzenu natamani movie lirudiwe nioe goli kipa. Hebu tupeane maujuzi nyie wake watumishi mnaishi nao vipi mpaka mkafika point ya kuzeeka nao kwenye ndoa.

KARIBUNI SANA WANANDOA ILA KAMA UNAJIONA WE BADO MTOTO TAFADHALI USIJE KWENYE HII MADA NENDA chitchat kuna mada zako.
 
Mwanamke hakuumbwa kula kwa jasho. Period, end of story.

Wewe si unataka provider wife? Mgawane majukumu ambayo kimsingi ni ya kwako? Then suck it.

Hakuna mwanamke anayeweza kujigawa kwa ulingano between kazi na kuhudumia familia. Lazima mzani uegemee upande mmoja
 
Hakuna shida yeyote kachoka na kazi muache apumzike akipata mda ataenjoy na wewe

Angekuwa gokilipa hapo ungempeleka unavyotaka wewe, mwanamke mwenzangu nakusalimia popote ulipo pole na majukumu ya kazi.
 
We
Mwanamke hakuumbwa kula kwa jasho. Period, end of story.

Wewe si unataka provider wife? Mgawane majukumu ambayo kimsingi ni ya kwako? Then suck it.

Hakuna mwanamke anayeweza kujigawa kwa ulingano between kazi na kuhudumia familia. Lazima mzani uegemee upande mmoja
Mdada naomba tuwe marafiki
 
Hahahaha muda unaandika hii mada ulikuwa unasikia jirani yako anajilia vyake kwa Raha zake wewe wa kwako yuko anakoroma tu, housemaid nae sura mbaya,unajikuta unajipiga nyeto na wanawake unao nyumbani kwako, hakika inauma sana,
Hata hivyo mna maghorofa mangapi mpaka saa hii!!😂😂😂😂😂
 
pole sana Billie
kiuhalisia mkeo lazima upande mmoja uzidi tuu,huwezi tumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja
ndoa nyingi za zamani zilidumu moja ya sababu ni baba alikuwa ndio TOP,mama yeye ni kumtunza mume,watoto na majukumu mengine ya nyumbani,sasahv tunatunza vibarua vyetu visiote nyasi,ndio maana hata nyege zinaisha mwanamke anarudi yuko hoi anawaza alale amuwahi kaisari asubuhi....pole sana aisee.
 
Upuuzi wakusema mtasaidiana ndani ya nyumba kukuza kipato ndio ina wacost wanaume wengi.

Mwanamke hela yake wee sahau kabisa. Wee oa mwanamke kwa sababu ya uzuri wake...yaani ukimuona tuu unataka kumgegeda na sio kwa kigezo cha tutasaidiana majukumu.

Tukiwaambia muoe mtu wa la Saba Au form four mnakuwa wabishi Komaa nalo ilo zingo pesa unatoa as usual, kiburi, ukitaka kuliacha mahakamani kila kitu ulicho tafuta mtagawana 😂😂😂, na yanaongea chilikuu Akasome, na beat unapigwa utasikia usinibabaishe.
 
Back
Top Bottom