Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,147
Unakuta kuna kupishana kidogo mke anakimbilia kukunyima haki yako ya ndoa.
Sasa najiuliza Je Kutunyima
1.Tuteseke
2.Tutubu
3.Tukome
Anyway ni hivi mimi nanyimwa hii siku ya 23 nahisi ntamaliza mwezi ila kwa kweli nye.ge zinavuruga kichwa jamani.
Now nipo bar nakula vitu asije akatokea demu yeyote aisee, ntapita nae ili ni-maintain equilibrium ya head yangu ya juu na chini.
Na nikipata demu muelewa, aisee nampangishia ili mke wangu anyooke kwenye hii tabia.