Kwanini watu wengi hata viongozi wa dini wanaamini hapa duniani wanawake ni wengi mno kuliko wanaume japo takwimu zinakataa?, nchi yenye asilimia kubwa ya wanawake hapa duniani ina asilimia 54 tu na kidunia wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6%
Mji wa Lindi unatia huruma, hali yake ya kiuchumi sio nzuri, biashara ni ngumu na ukuaji wake ni wakusuasua utadhani sio manispaa, ukilinganisha na Masasi tofauti ya maendeleo ni kubwa, Masasi mji unakua sana, vituo vingi vya mafuta vinajengwa, magesti, vighorofa vidogo vinaanza kujengwa, kunani...
Leo hii kila mwanamke anasema hataki kuolewa na mwanaume mfupi, kila mwanamke anataka mwanaume mrefu na warefu ni wachache sana, sasa hao wanawake wataolewa na nani ikiwa wanaume warefu wanahesabika?
Jiji la Mbeya ni moja ya majiji yaliyochangamka sana kibiashara hususani eneo la Mwanjelwa, lakini ni jiji lililojengwa kiholela sana.
Karibia asilimia 60 ya nyumba zake ni za matofali ya udongo, ukiondoa iwambi na forest maeneo yaliyobaki yana hali ngumu, wenyewe wanapaita Green City ingawaje...
Mkoa wa Mbeya umeweka utaratibu wa magari ya abiria na malori kusubiriana kwenye milima ili yapite kwa zamu. Katika utaratibu huu, magari husubiri kwa muda wa nusu saa ili magari ya aina nyingine yapite.
Utaratibu huu uko barabara ya Mbeya -Tunduma na huchelewesha sana abiria sababu kuna...
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona lilitolewa agizo na serikali kua shule zote pamoja na vyuo vifungwe ili kupunguza misongamano, lakini cha kushangaza kwa baadhi ya mikoa Kama tanga kuna baadhi ya halmashauri zimeanza kukiuka agizo hili kwa kuwataka walimu wawepo ofisini siku zote...
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona lilitolewa agizo na serikali kua shule zote pamoja na vyuo vifungwe ili kupunguza misongamano, lakini cha kushangaza kwa baadhi ya mikoa Kama Tanga kuna baadhi ya halmashauri zimeanza kukiuka agizo hili kwa kuwataka walimu wawepo ofisini siku zote...
Haya sasa wale wenzangu tuliokua tukipigia debe miji ya moshi na morogoro iwe jiji hebu tuangalie uhalisia mana tumekua tukiipambanua Sana miji hii na kuikosoa miji Kama tanga na mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari siku ya tarehe 21 mwezi huu huku wilayani Handeni ilinyesha mvua inayotoa maji yenye rangi nyeusi, jambo hili limewaogopesha wengi kama kuna mtaalamu hapa hebu anijuze sababu ni nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wadada wanaotafuta ndoa kwa upepo wa kisulisuli mbona siwaelewi, ukiwatongoza wanaleta nyodo halafu wanawasumbua viongozi wa dini wawaombee. Sasa lengo lao ni lipi, maana wanaume ndio sisi sisi!
Walimu wakuu na wakuu wa shule wilaya ya Handeni wapewa agizo kuhakikisha walimu wao wote wanajiandikisha kwenye daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa,je sheria inasemaje ?
Habari wana jukwaa ,hivi kale ka utaratibu ka kupima watu vvu kwenye hospitali za uma kabla hujapata Huduma ya ugonjwa husika kameondolewa? maana juzi nilipata Huduma kwenye hospitali ya mkoa wa Tanga bombo huo utaratibu sijaukuta ingawaje ulikuepo mwanzo
Ndugu zangu watanzania katika siku za karibuni kumekua na utaratibu kwa hospitali za serikali kuwalazimisha wagonjwa kupima virusi vya ukimwi kama masharti ya kupata matibabu na ukikataa hupati matibabu,lengo langu ni kutaka kujua je ni kweli wizara ya afya imetoa agizo hilo au ni taratibu tu za...
Leo kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Uganda na Tanzania unaofanyika Dar rais wa uganda Museveni amepewa tafsiri isiyo rasmi wakati akihutubia na kuomba msaada wa tafsiri ya neno bone marrow
,kwa bahati mbaya alietoa tafsiri kwa kutojua alitafsiri kua bone marrow ni uroto wakati tafsiri...
Kumekuwepo na mitazamo mbalimbali kuhusu ni Maumivu gani hasa ni makali zaidi,wanawake wengi wanaamini uchungu wakati wa kujifungua ndio Maumivu makali hasa kuliko kitu kingine, lakini kuna wanawake kadhaa waliowahi kuhojiwa nchi mbalimbali waliorodhesha baadhi ya Maumivu makali waliyowahi...
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye picha hua ni kila anayetaka hati anachajiwa maana niliwahi kusikia kua kama Kiwanja ulikinunua kwa...
Habari nahitaji kujua hivi malipo ya egovt pay yanafanyikaje katika bank maana fomu niliyopewa inakitu kinaitwa control number na sio ac namba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini Iringa hakuna hoteli zenye hadhi, juzi nilikuwa huko niliona kama hoteli moja hivi angalau yenye hadhi lakini nyingine ni kama gesti, hebu wadau wa Iringa mtuambie tatizo ni nini mbona majirani zenu Mbeya mahoteli ni mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.