Maumivu gani makali zaidi

Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
1,382
1,308
Kumekuwepo na mitazamo mbalimbali kuhusu ni Maumivu gani hasa ni makali zaidi,wanawake wengi wanaamini uchungu wakati wa kujifungua ndio Maumivu makali hasa kuliko kitu kingine, lakini kuna wanawake kadhaa waliowahi kuhojiwa nchi mbalimbali waliorodhesha baadhi ya Maumivu makali waliyowahi kuyapata ambayo yanazidi Maumivu ya uchungu wa kujifungua ,baadhi yao waliorodhesha Maumivu ya gall stone, kidney stone, root canal, broken bone, heart surgery, severe migraine n.k naombeni mawazo yenu
 
😂😂😂 Baada ya kusoma tu Heading cha kwanza nilichowaza ni hili dubwana.

Mkuu kama unampenda mkeo na jambo la kumuacha ni kama jua na mwezi kukutana, yaani umeshikiwa papaya. Basi jitahidi kwa namna yoyote ile jimilikishe mama yake, ama dada yake wa damu mgoni wako kimya kimya, na ukiweza zaidi mkewe pia kama mchepuko wako wa kimkakati kwa muda maalumu usiojulikana. Ila yeye anatakiwa alijue hili jambo kwa any means kama tetesi, ukiendelea kujifariji.

Hii kitu kisasi chake ni utata mtupu, kuliko kununua gunia mbili, kufumania na kujidhalilisha nyote na mkeo ama maamuzi yoyote ya hasira na kupelekea watoto kuwa yatima na kuteseka. Maamuzi ya busara na ki intelejensia yana hitajika kwa kiwango cha uvumilivu wa juu sana, ili familia iendelee katika mstari bila watoto kuathirika.

TAHADHARI: Usifuate suluhisho nililotoa hapo juu, ikiwa kama hujawahi kupitia mafunzo ya chama cha mabaharia kabla hawajaoa.

Ndugu yangu tutakukosa mapema sana kabla ya kuchomoa betri.

USIJARIBU.
MAANA MIMI MWENYEWE BADO SIJAWAHI JARIBU NAWAZA TU ITAKUWAJE NIKIKUTANA NA KADHIA HII..

Maumivu ya kugongewa mke uliyemgharamia kila kitu.
 
Maumivu ya mfupa acha mchezo.Ndio maana unapewa dawa za Epephdine dawa ambazo ziko group ya madawa ya kulevya kupunguza maumivu
 
Ulikuwa umepanga na rafiki yako mkiingia Kwenye chumba cha mtihani umtazamie, lakni ghafla unahamishwa na kwenda kukaa sehem nyingne, INAUMA SANA
 
Back
Top Bottom