Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
1,677
Reaction score
1,686
Hivi kwanini Iringa hakuna hoteli zenye hadhi, juzi nilikuwa huko niliona kama hoteli moja hivi angalau yenye hadhi lakini nyingine ni kama gesti, hebu wadau wa Iringa mtuambie tatizo ni nini mbona majirani zenu Mbeya mahoteli ni mengi
 
Umeona eeh nilikua natafuta sehemu nzuri tulivu ya kutulia sijaona, mji huu sidhani kama kuna hoteli yenye angalau swimming pool
Majengo yao ni chakavu mno, hakuna huduma nzuri,kuchafu mashuka ni machafu,vumbi la kutosha vyumbani, iwe hotel,Lodge ama motel halafu bei ipo juu hakuna value for money kwa kweli sipendagi nipate trip ya kikazi ya mkoa huo ni basi tu.
 
Aisee hii kitu imenigusa sana mwaka jana nilikua pale km 1 week nikamtaarifu mwenyeji wangu aniandalie lodge nzuri dah nilivyofika nilichoka kwanza ni lodge ya kawaida ya kizamani bei room standard 50k, kesho yake nikaamua nitafute mwenyewe kila nilipopelekwa hafadhali ya nilipo dah sikula bata kabisa mana mtonyo wote ulikua ni kwa ajili ya room service...Mtwara napo ni masikitikoo
 
Mambo ndiyo yalivyo iringa,nyumba za kulala wageni ni uchafu
 
Hakuna zaidi ya nguruwe choma wanaouza hapa karibu na halmashauri
Hahaha niliwahi kula hapo niliapa sitarudi, nafahamu mbuzi miami, gentle hill msosi siyo kivile ila angalau duh! Na pizza mama Iringa sina hakika kama kuna kwingine labda mama ntilie
 
Hahaha niliwahi kula hapo niliapa sitarudi, nafahamu mbuzi miami, gentle hill msosi siyo kivile ila angalau duh! Na pizza mama Iringa sina hakika kama kuna kwingine labda mama ntilie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hotel zipo za maana tu sema ulikutana na jamaa yako nae mshamba tu...ungempata dereva tax akupeleke.
Hata mi nashangaa eti Iringa hakuna hotel ya hadhi yake....kuna mijitu ya hovyo humu balaa yaan yeye kaweka bajeti ya 30000 anataka hotel ya hadhi kubwa.

Hivi kweli alishindwa Kalenga,isimila,Mr na wilolesi hotel? Hizi hazina hadhi yako wewe au ndo majivuno ya jf tu lkn njaa zimewajaa?
 
Isimila hotel imechoka...ila Kalenga hotel, MR ziko poa wanajaa wazungu mostly, pia kuna zile mbili za ghorofa ziko mshindo/Mashine tatu bila $60+ hulali na ukitaka unaweza enda Bwawani Resort, sunset, gentle hills...Gangilonga juu kule kuna mizigo ya maana...shida wanakuja kwa ndugu zao Makanyagio wanapelekwa guest za Makorongoni huko
 
Back
Top Bottom