Mipango miji Mbeya, kuweni wabunifu mpunguze hii hali ya ujenzi holela

Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
583
500
Jiji la Mbeya ni moja ya majiji yaliyochangamka sana kibiashara hususani eneo la Mwanjelwa, lakini ni jiji lililojengwa kiholela sana.

Karibia asilimia 60 ya nyumba zake ni za matofali ya udongo, ukiondoa iwambi na forest maeneo yaliyobaki yana hali ngumu, wenyewe wanapaita Green City ingawaje mazingira yake yanawahi sana kukauka hususani kipindi hiki mazingira yana rangi ya khaki badala ya green.

Viongozi wa mipango miji hebu kuweni wabunifu mpunguze hii hali ya ujenzi holela.
 

Ta Nanka

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
885
1,000
Kwa asilimia kubwa mji haukupangwa na hili ni tatizo kubwa. Itakuwa kazi sana (kama bado inawezekana) kuupanga vizuri sasa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom