Sheria ya ukimwi ya mwaka 2008

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
453
Points
500

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
453 500
Ndugu zangu watanzania katika siku za karibuni kumekua na utaratibu kwa hospitali za serikali kuwalazimisha wagonjwa kupima virusi vya ukimwi kama masharti ya kupata matibabu na ukikataa hupati matibabu,lengo langu ni kutaka kujua je ni kweli wizara ya afya imetoa agizo hilo au ni taratibu tu za hospitali husika kwa maana utaratibu huu unapingana na sheria ya ukimwi ya mwaka 2008
Screenshot_20190925-223144.jpeg
 

Forum statistics

Threads 1,381,360
Members 526,061
Posts 33,797,181
Top