Nini sababu ya matone ya mvua kuwa meusi?

Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
1,384
1,310
Habari siku ya tarehe 21 mwezi huu huku wilayani Handeni ilinyesha mvua inayotoa maji yenye rangi nyeusi, jambo hili limewaogopesha wengi kama kuna mtaalamu hapa hebu anijuze sababu ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku Manyara nayo hali iko hivyo, japokuwa maji hayo yameshatumika sijaona madhara lakini ni meusi kwa kweli.
 
Nadhani Hapo Handeni Na Manyara Siyo Mbali Sana, Bila Shaka Wataalam Watakuja Kutuambia Kulikoni Mvua Yenye Matone Meusi.

"Vula Yanya, Mwana Kakoza!"
😅😄😃😂😁
 
Januari na febuary huwa ni muda wa mvua nyeusi, watu wa kanda ya ziwa wanajua. Hata kumbi kumbi wanaoibuka muda wa hii mvua huwa ni weusi pia.
 
Back
Top Bottom