Ardhi

Ardhi

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
1,679
Reaction score
1,691
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye picha hua ni kila anayetaka hati anachajiwa maana niliwahi kusikia kua kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu hupaswi kulipia... Ukweli ni upi
IMG_20190112_134246.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye picha hua ni kila anayetaka hati anachajiwa maana niliwahi kusikia kua kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu hupaswi kulipia... Ukweli ni upiView attachment 994497

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali inakusanya kodi kwa maendeleo yako kalipe hiyo premium over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom