e Government pay


Ravalomanana

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
279
Likes
138
Points
60
Ravalomanana

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
279 138 60
Habari nahitaji kujua hivi malipo ya egovt pay yanafanyikaje katika bank maana fomu niliyopewa inakitu kinaitwa control number na sio ac namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Messages
1,565
Likes
1,282
Points
280
dafity

dafity

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2008
1,565 1,282 280
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
544
Likes
280
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
544 280 80
Mwananchi A anataka kuilipa Taasisi ya Umma B kiasi cha shilingi C.

Taasisi B inatengeneza "Control Number" inayoonyesha A and C. Malipo yakifanikiwa yanawekwa akaunti D ya benki, na "Control Number" inafutwa.

Bonus: Kabla ya kufanya malipo yoyote kwa serikali unaweza kuhakiki "Control Number" ya GePG kwa kubofya *152*00# na kufuata maelekezo.
 
Ravalomanana

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Messages
279
Likes
138
Points
60
Ravalomanana

Ravalomanana

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2018
279 138 60
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
544
Likes
280
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
544 280 80
Control Number unapaswa kupewa na unayemlipa mfano. Chuo, TRA, Taasisi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni moja ya maeneo yanayohitaji maboresho. Mtu ukitaka kulipia chochote serikalini ulitakiwa uweze kujitengenezea control number na kuilipa serikali. Badala yake watu hupoteza muda mwingi kwenye foleni za kutengenezewa "control number". Inapoteza maana nzima ya malipo ya kielektroniki.
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
544
Likes
280
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
544 280 80
Nimepewa na wizara ya ardhi but nilitaka kujua kama ndio ina act kama ac namba na pia je unajaza zile fomu za kawaida au kuna fomu maalum kwa egv pay

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi wako vizuri kwenye hilo, hasa masuala ya kodi ya ardhi. Unaweza kumaliza mambo yote kwenye mtandao + simu.
 
N

Ngambako

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Messages
290
Likes
212
Points
60
Age
38
N

Ngambako

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2013
290 212 60

Forum statistics

Threads 1,251,650
Members 481,811
Posts 29,779,032