Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,679
- 1,690
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona lilitolewa agizo na serikali kua shule zote pamoja na vyuo vifungwe ili kupunguza misongamano, lakini cha kushangaza kwa baadhi ya mikoa Kama Tanga kuna baadhi ya halmashauri zimeanza kukiuka agizo hili kwa kuwataka walimu wawepo ofisini siku zote tofauti na agizo la serikali, hii inanichanganya kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app