Search results

  1. E

    Tanganyika Bado tutakupigania,mpaka tumekupata!

    Pamoja na hila zinazoendelea Dodoma.WanaCCM wanaona haya kukutaja.Tutamleta Rais wako,naam Rais Wa Tanganyika.Nitakupigania kwa moyo yangu wote na kwa akili zangu zote.Haijalishi lini.Sitaacha kukumbuka huko uliko.Pumzika salama mama Tanganyika.Wamepitisha rasimu yao,hata wakichakachua kura ya...
  2. E

    Hongera ccm kumchukuwa bryson mwansimba-chunya

    Salaam Wanabodi, Bryson Mwansimba aliyekuwa kaimu Katibu wa CHADEMA wilaya ya Chunya kabla ya kujiuzuru mwaka huu,leo amehamia CCM.Kulikuwa na tetesi za muda mrefu za yeye kutimkia CCM ambazo amekuwa akizikanusha lakini leo yametimia.Nimefanya nae kazi kwa karibu tangu alipoteuliwa kukaimu...
  3. E

    Baada ya Willium Ngeleja Kung'oka Matumaini Ya Badra Masoud Kuendele na Kibarua yamepumngua!!!!

    Ngonjera za Mgao wa umeme zilikuwa zinalaghai Watanzania kwa kumutumia Badra Tanesco ambaye alisimikwa na Lowassa na kulindwa na NGEREJA!!!!!!!!!!!!!!!111
  4. E

    Jemus Mbatia ajivue nafasi ya Mwenyekiti Taifa baada ya Kuteuliwa na Kikwete CCM!!!!!!!

    Maalimu Seif Wa CUF aliambiwa kujivua nafasi ya Katibu Mkuu Taifa baada ya kuteuliwa na serikali sasa Mbatia anaponaje??? Kama Mbatia atabaki kuwa Mwenyekiti Taifa hii ina maana gani kwa Mipango ya kupambana na CCM??? CDM waliweka msimamo kushirikiana na NCCR baaada ya kesi ya Kawe kuisha...
  5. E

    Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

    Mtangazaji wa zamani wa Channel Teni Bi Salama Hamadi amesema amekuwa anafanya ngono na Rostam Aziz Kwa zaidi ya Miezi kumi baada ya kumupatia ajira katika kampuni yake ya Channel Teni. Amesema kaitika mahusiano hayo Rostam alipata kumushawishi ajipenyeze Kwa nape nauye ili amuwekee Sumu na...
  6. E

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kufadhili manunuzi ya gari la Lulu !!!

    Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari. Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
  7. E

    Ridhiwani Kikwete anatajwa kumununulia gari Lulu

    Rz1 anatajwa kuwa na Mahusiano na Lulu kiasi cha kumununulia gari. Mda mfupi baada ya Kifo cha Kanumba msg ya Rz1 ilikutwa kwenye simu ya lulu!!!!
  8. E

    Picha na Matukio Mgogoro wa Efatha Jumatatu ya Pasaka!!!!!!!!!!!!

    Walinzi wawili wa Kiwanda cha Afroplus Mwenge walitekwa na Wafuasi wa Mwingira Efatha mwenge na kufanyiwa Unyama mkubwa pamoja na kungwa kamba na kukatwa mdomo na Jambia angalia picha hizi!!! Ni bora jamii ikaelezwa Ukweli juu ya unyama huu ili watu wawajibike kuondoa kinyongo kwa...
  9. E

    Salamu za mwaka mpya kwa vijana wote

    Salam za mwaka mpya 2012 kwa vijana wote Vijana wenzangu salam.Mimi kijana mwenzenu ni mzima na buheri wa afya. Tumefika mwisho wa mwaka 2011.Tuna kila sababu ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwani wengi walipenda kwa gharama zozote zile wafike mwaka mpya lakini hawakuweza,sisi hatukufanya mema...
  10. E

    Wazanzibari waiponda CUF

    Source-mzalendo.net Msimamo wa CHADEMA wa serikali tatu, ni msimamo uliopitwa na wakati sana. Sisi Zanzibar tulikuwa na msimamo huu 1984 – msimamo huu ndio ndio uliomfanya Rais Aboud Jumbe afukuzwe kazi na bosi wake Nyerere; kadhalika Ramdhan Haji Faki. Ni msimamo uliopitw ana wakati...
  11. E

    Hati ya utambuliho!

    Ndugu wana JF kwa muda sasa nimekuwa nikiingia kama guest humu ndani na kujifunza mengi,nimeamua kubisha hodi,ili niweze kujifunza zaidi. Naomba kuwasilisha!
Back
Top Bottom